Uporaji simu kwa kutumia pikipiki ni vema ukaingizwa katika list ya michezo nchini ili vijana wetu wapate ajira

Norshad

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2013
Posts
5,211
Reaction score
12,538
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu,

Tumekuwa tukishindwa kila siku katika medani mbalimbali za kimichezo, kimataifa, hasa katika mchezo wa soccer,
Michezo ipo mingi sana, ndani tunafanya vizuri lakini kimataifa tumekuwa watalii tu,

Sasa basi, kuna umuhimu wa huu wizi wa kutumia pikipiki ukaboreshwa na kuongezwa katika listi ya michezo pengine tunaweza iwakilisha nchi yetu vizuri na sisi tukiwa Kama waasisi wa mchezo huo, kwa kuwa vijana wanaonesha wana ari, kasi na akili nyingi kufanikisha hili..

Wazungu wana michezo ya kipuuzi mingi tu, na wanaitambulisha kimataifa na inapendwa mno, sasa ni zamu yetu..maana si kwa wizi huu.
 
Mbona kama unahalalisha wizi sasa mkuu

Kaka ni bora wakawekewa sheria na ukawa ni moja ya mchezo mashuhuri ambazo watu watakuwa wakitoa kiingilio kuangalia skills za hawa ndugu..maana wana vipaji..sio kwa wizi huu...dakika tano zilizopita OCD naye wamepitia CM yake tena kasimama pembeni ya diffender
 
Sawa uwe mchezo ila sio wa Wizi
 
Kaka ni bora wakawekewa sheria na ukawa ni moja ya mchezo mashuhuri ambazo watu watakuwa wakitoa kiingilio kuangalia skills za hawa ndugu..maana wana vipaji..sio kwa wizi huu...dakika tano zilizopita OCD naye wamepitia CM yake tena kasimama pembeni ya diffender
[emoji23] [emoji23] [emoji23] duh! Hicho kipaji, watu awana uogo. Hata OCD wanamliza[emoji122] [emoji122]
 
Back
Top Bottom