figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
Wakuu Salaam
Katika Swla la Upoteaji na utekaji wa Watu, Watu wa tiba Mbdala na Hospitali zichunguzwe biashara ya figo na viungo vya binadamu Tanzania
Tunaweza Walaumu Polisi, TISS, Machawa wa vyama vya siasa nk. Lakini tunawasahau hawa wataalam wetu wa afya.
Pia kuna watu wanazikwa na Manispaa kila Wiki Nchi nzima ambao hawana ndugu. Wengine wameokotwa kwenye ajali nk.
So tunapotuhumu vyombo vya dola tuwe na kiasi cha maneno. Tusiingize siasa kwenye uhai wa watu.
Kwanini tunaongelea vyombo vya dola na vyombo vya afya tunaviacha?
Kumbuka Tanzania bado hatuna utu wala uzalendo, tumejaa tamaa wizi ufisadi na Uuaji?
Angalia Ufisadi wa Wanasiasa, angalia ujangili. Angalia familia za Kitanzania zilivyo na ukatili kila siku mume kamuua Mke na Mke kaua mume watoto nk.
Tusiwaone hawa watu wa tiba mbadala na Wamiliki wa Hospitali ni wema. Ukutaka uamini, subiri Serikali irubusu biashara ya viungo vya binadamu.
TLS, yatoa orodha ya watu waliopotea na kutekwa na tamko juu ya ongezeko la vitendo vya utekaji na upoteaji wa watu nchini
MUHAS: Tunatumia maiti 20 tu kwa mwaka
Kama si mbinu,Turuhusiwe kutambua maiti kutoka IMTU.
Sakata la viungo vya binadamu: Madaktari wa IMTU washikiliwa na Polisi
Viungo vya binadamu (idadi kubwa) vyaokotwa Bunju-Machimbo