Upotoshaji kuhusu Samata

Upotoshaji kuhusu Samata

Watu waache utani, ni kweli samata anaiwakilisha vema nchi yetu lakini kumfananisha na wanyama huo sasa ni utoto!!
 
Sijasema bora kipo england

Unakaaje mbele za watu na kujisifia kuhusu samata? Hauon aibu

Ni heri ujisifie diamond platnmuz nitakuelewa

Ili uwe famous lazima ucheze ligi kubwa tano bora ulaya

Ya kwanza ni EPL,

HUYO SAMATA UMRI NDIO UNAENDA HIVO HATA TIMU ZA CHAMPIONSHIP HAKUNA INAYOMUHITAJI

NI HERI AKACHEZE CHAMPIONSHIP KULIKO KUCHEZA LIG YA UBELGIJI
Acha chuki binafsi.
 
Kwahiyo tufanyeje mkuu tusimpromote? Tuwapaishe hao uliowataja? Haters utawajua tuu..
 
Kwani nani anayesema Samata ni bora kwa wachezaji wote
wakutoka Afrika?.
Samahani joseverest,nimechukua nafasi yako kwa muda tu!!.
Asante,nilikuwa naweka rekodi tu vizuri,kuwa kuna tofauti ya mchezajji bora wa afrika,na mchezaji bora wa afrika wa ligi za afrika tu ambazo wanyama hawezi shiriki
 
Samata mchezaji wa kawaida tu

Angekuwa anajua zaidi angekuwa ameahasogea hata scotland kidogo kuelekea EPL

Ni aibu kwa mtanzania mzima kujivunia mchezaji anayechezea lig ya ubelgiji,

Najisikia aibu

One day nitagombea urais TFF,

Kila wilaya nitaweka academy,

Kila shule za msing nitaweka ligi

Nitaweka lig za secondary had chuo,

After 5yrs nitapata vipaji ving vitakavyofuta aibu hii

NARUDIA NI AIBU KUSIMAMA MBELE ZA WATU NA KUJISIFIA SAMATA,
Hizo pesa utakuwa unachapisha mwenyewe?
 
Back
Top Bottom