Upotoshaji kuhusu Samata

Watu waache utani, ni kweli samata anaiwakilisha vema nchi yetu lakini kumfananisha na wanyama huo sasa ni utoto!!
 
Acha chuki binafsi.
 
Kwahiyo tufanyeje mkuu tusimpromote? Tuwapaishe hao uliowataja? Haters utawajua tuu..
 
Kwani nani anayesema Samata ni bora kwa wachezaji wote
wakutoka Afrika?.
Samahani joseverest,nimechukua nafasi yako kwa muda tu!!.
Asante,nilikuwa naweka rekodi tu vizuri,kuwa kuna tofauti ya mchezajji bora wa afrika,na mchezaji bora wa afrika wa ligi za afrika tu ambazo wanyama hawezi shiriki
 
Hizo pesa utakuwa unachapisha mwenyewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…