upotoshaji kwa lowassa.

upotoshaji kwa lowassa.

emkey

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2011
Posts
728
Reaction score
137
nimeona watu wengi na vyombo vya habari vinashindwa kumtofautisha lowassa aidha ni mstaafu au aliyejiuzulu. lowassa ni waziri mkuu aliyejiuzulu, na siyo mstaafu kama walivyozoea kumwita. over..
 
Nchi hii tupo tupo ilimradi....
Leo mtu ananyea kuwenye sahani alokulia chakula na kesho anakaribishwa tena !!
 
mbona unakuwa kama zuzu! mi nakupa elimu uweze kutofautisha hayo maneno mawili wewe unaleta uzuzu, mi sina muda wa kukuelimisha zaidi ya kukushauri upende kujua vitu kwa mapana, siyo kukremu tu.
 
nimeona watu wengi na vyombo vya habari vinashindwa kumtofautisha lowassa aidha ni mstaafu au aliyejiuzulu. lowassa ni waziri mkuu aliyejiuzulu, na siyo mstaafu kama walivyozoea kumwita. over..

aisee....unajua ni kwa nini bado wanamwita mstaafu?
 
nimeona watu wengi na vyombo vya habari vinashindwa kumtofautisha lowassa aidha ni mstaafu au aliyejiuzulu. lowassa ni waziri mkuu aliyejiuzulu, na siyo mstaafu kama walivyozoea kumwita. over..

Na mwalimu nyerere aliyejiuzulu mwaka 1985 kwa kutumia neno la kizanaki nang'atuka (Najiuzulu) inafaa tumwite rais aliyekuzulu au rais mstaafu wa awamu ya kwanza?
 
utingo, huyu lowassa kiukweli hakustaafu, hata bungeni wakati ule anaachia madaraka kama w/mkuu, alisema anajiuzulu kwa kashfa ilompata, kustaafu inatokea endapo kiongozi ametumikia ktk wadhifa fulani kulingana na muda maalumu uliowekwa kisheria. ova
 
Back
Top Bottom