Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni story za vijiweni,Wewe una takwimuNguvu nyingi inatumika bIla shaka kupotosha kuhusiana na mkataba huu.
View attachment 2672542
View attachment 2672543
View attachment 2672541
View attachment 2672540
Kwamba tuna aina hIzi za watu mezani:
View attachment 2672544
Ni dhahiri bin shahiri kuwa, kuna wanufaika hapa na bila shaka si wananchi.
Tatizo la bandari kwa muda huu sio makusanyo, ni zile terms mbovu kwenye ule mkataba, hivi huu ujinga mnaurudia kwa maslahi ya nani? au mnadhani mnamkomoa nani?Ni story za vijiweni,Wewe una takwimu
Mwaka jana bandari makusanyo yalikuwa kiasi gani mfano wharfage ilikuwa Tzs kiasi gani?
Watu hawana takwimu za bandari na wala hawajui kazi za bandari
Mkuu ya kusikia changanya na yako
Bandarini kuna kampuni zina pata matrilioni kwa kukwepa kodi hasa hizi Clearing Agents
Clearing agents nyingi ni za kitapeli hazilipi kodi
Acha bandari iendeshwe na wengine kwanza
We learn through mistakes
CCM ni kisima cha watu wanao jitoa ufahamu kwa kuahirisha kufikiri kwa masilahi ya watu wachacheIssa ameongea vizuri sana pia ametoa ushauri mzuri sana. Hv najiuliza serekali huwa haifanyi consultation kwa watu waelewa/wasomi/ watz kama hawa kwenye Miradi mikubwa!!!? Kuliko kujifungia tu na watumishi wa umma
Beberu anasema:mi naona jambo la serikali ni jema ila masharti ndo yanazua taharuki
nukuu ''' hata gunduz bey alitaka kuusaidia ukoo wake kwa nia njema kumbe alikuwa akiingia kwenye mtego wa waziri aremsha ''' nia ya serikali ni njema ila ingalie kwa jicho la tatu hakuna mtego mbeleni
Issa ameongea vizuri sana pia ametoa ushauri mzuri sana. Hv najiuliza serekali huwa haifanyi consultation kwa watu waelewa/wasomi/ watz kama hawa kwenye Miradi mikubwa!!!? Kuliko kujifungia tu na watumishi wa umma
Yaani ulitaka genge la wezi wamshirikishe police kwenye deal zao?Issa ameongea vizuri sana pia ametoa ushauri mzuri sana. Hv najiuliza serekali huwa haifanyi consultation kwa watu waelewa/wasomi/ watz kama hawa kwenye Miradi mikubwa!!!? Kuliko kujifungia tu na watumishi wa umma
Mambo ya serikali ndivyo yalivyo...