Historia inasema Coronavirus walikuwepo hapa duniania zaidi miaka 4000 iliyo pitia. Corona haijatengenezwa na mtu au taifa au nchi. Bali coronavirus wame mutate undergo mutation. Inatoka na mabadiliko ya tabia ya nchi . Wanaohusianisha 5G huenda kwa asilimia kidogo mionzi(radiation) of 5 G Ndio imewabadisha corona kutoka muundo usiona madhara kwenda muundo wa madhara(COVID-19). Kumbe lengo China kutuletea 5G Si kuleta corona bali nikusaidia maendeleo ya dunia. Covid-19 imejitengenza automatic