Upotoshaji wa Habari! Nani alaumiwe?


Unachokisema ni kweli mkuu. Sijui Ben alimfanya nini huyu Mengi na IPPMEDIA yake!?
 
Watanzania tujenge TABIA ya kuyanunua na kuyasoma magazeti yetu. Vinginevyo, headlines zitabaki kuwa hizihizi ili angalau "kuwavutia" wachache. Tunanunua sana bia ingawa zinapanda bei kila kukicha!
 

Kutoka Kasiri la MWANANCHI mpaka NEW RAI, tumepotoka au umepotoka?

.....ndiyohiyo
 
Kutoka Kasiri la MWANANCHI mpaka NEW RAI, tumepotoka au umepotoka?

.....ndiyohiyo

Nilikuwa natoa msaada wa kiushauri wakati kijana akandikia huko,ila mie siyo huyo unayemsema ambaye kwa sasa yupo capetown.

Kabla hata ya kasri,mie nilichangia sana kuimarisha hoja za kila wiki,Nadhania kama kuanza kuandika nilianza hata kabla ya mwnakijiji hajawa maarufu hapa Bongo.Nina makala kibao ambazo niliwahi kuandika kupitia watu ila nikaacha.

Nafikiri mie ni bora zaidi,Yes ,nina upeo wa khali ya juu sana ya uandishi na siasa ya Bongo.

Back t o your question,kwenda RAI mpya siyo kupotoka ila ni kubadilisha mazingira,Mbona Sakina kaenda IPP
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…