Uchaguzi 2020 Upotoshaji wa hotuba ya Waziri Mkuu, jibu ni hili

Kwa hiyo unataka kupotosha kuwa uchaguzi sio huru na wa haki hapa Tanzania? Au unajifurahisha maana mmekuja na style ya kupotosha kila jambo.
 
duh kwaio ukijumlisha hizo namba unapata MILIONI KUMI NA MOJA???.......


huu upumbavu sijui kwanini watu wanaupokea aisee, eti deiwaka nayo ajira[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
 
Kwa hiyo unataka kupotosha kuwa uchaguzi sio huru na wa haki hapa Tanzania? Au unajifurahisha maana mmekuja na style ya kupotosha kila jambo.

Siku utakapofanyika huo Uchaguzi wa Huru na Haki, nakuhakikishia ndiyo itakua mwisho wa hicho kikundi chenu kuitawala nchi yetu. Yaani kuwepo na Tume Huru ya Uchaguzi na isiyo na shaka yoyote ile, Polisi kuacha kutumia nguvu kwa raia, kuacha vitisho na kuacha ile tabia ya kukimbia na masanduku ya kura!

Wakurugenzi (makada kindakindaki wa ccm) kuondolewa kuwa wasimamizi, matokeo ya Rais kuhojiwa mahakamani, vyama vyote vya siasa kupewa uwanja sawa wa kufanya siasa na kutoa elimu ya Uraia kwa wananchi, nk. Hakika saa 2 tu asubuhi utaambiwa CCM imekufa kifo cha mende.
 
Kwani sasa hivi tume sio huru? Mlizuiwa kufanya siasa? Nyie mnataka harakati sio siasa. Maana mikutano ndani ya majimbo ilikuwa ruksa. Ila kwa sababu ni wanaharakati mlitaka kufanya harakati wananchi wasiletewe maendeleo.
 
Bora wafadhili wanaotaka tume huru kuliko wafadhili wanaotaka ushoga
 
Mlipewa uwanja sawa wakati wa jk mkavuruga
 
Jumlisha na za wale wa buku saba kwa siku.
Ajira ni nyingi sana zilizotolewa awamu hii.
 
Wanafikiri kuwa ajira mpaka uajiliwe na serkal wakiona mtu amejiajiri wajui serkali inachukua takwimu hata za walijiajiri
Kilaza hajui hajui hajui! Kuna tofauti kubwa kati ya ajira na kazi.
 
Hii dunia asingekuwapo beberu hawa watawala weusi wangetugeuza bucha usiku na mchana kwa roho mbaya,
 
Tupe tofauti
Una nafuu kwa kujua hujui! Mwenye kazi anatoa ajira kwa mtu au watu wengine na kuwalipa ujira. Kama ni kwa siku au wiki ni kibarua na kulipwa ujira wa siku au wiki kulingana na mapatano. Kama ni kwa mwezi ni mwajiriwa na hulipwa ujira unaoitwa mshahara kulingana na mkataba. Mwenye kazi halipwi mshahara kwa sababu hakuajiriwa. Anakula faida. Na ni katika hiyo faida, kama ametoa ajira kwa wengine, hulipa posho au mishahara!
 
Kwa hiyo hujui kujumlisha? Au kwa akili yako ukijumlisha hizo elfuelfu na laki 8 unapata milioni 11 au 12?
Jamani sisiemu hii ya hawa vijana ndiyo mburula hivi!!!!!!
Jf futeni huu uzi kwakuwa hauna mantiki inayohalalisha hoja yao
Cc moderators, maxence melo, invisible, Roving journalist
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…