Ukana Shilungo
JF-Expert Member
- Apr 17, 2012
- 3,041
- 2,422
NAona msumari umekuingia vizuri sana. 🤣🤣🤣🤣😃😃😃Wewe ni MPUMBAVU, umeangalia video ya Robert Amsterdam YouTube aliyoitoa juzi anaitishia tume ya uchaguzi?.. najua mna mahaba na huyo KENGE wenu Lissu ila nakuhakikishia hawezi kuwa Raisi wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania.. NEVER. Sio 2020 bali kamwe. Ni rahisi Steve Nyerere kuwa Waziri mkuu kuliko Tundu Lissu kuwa Raisi wa Tanzania. Bado siku 21 tu, Stay tuned.
Mkuu natamani watanzania wote wayazingatie haya.Watanzania tuamke usingizini, wenzetu wanachokipigania ni maslahi yao na familia zao. Wanaona ujio wa Lissu ni tishio kwao na kwamba akishinda madhambi yao yatawekwa wazi ndio maana wanapigana kufa na kupona kumzuia asishinde ili kulinda madhambi yao.
Mabeberu hao ndiyo CCM iliwapa mgodi wa Williamson diamond Mwadui Shinyanga,Buzwagi na migodi yote ya dhahabu nchi hii kila mkataba ni serikali hii ya CCM iliingia na mabeberu hakuna hata mgodi mmoja unaomiliwa na wananchi au Serikali kati ya CCM na Lissu nani aliewagawia rasilimali za nchi mabeberu?Lissu katumwa na Mabeberu na wewe mtoa post umetumwa na Lissu!
Kashawishi ukoo wako wote, wilaya yako hata mkoa wote wampigie kura Lissu Ila nakuhakikishia Lissu hawezi kuwa Raisi wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania.. NEVER. Sio 2020 bali kamwe. Ni rahisi Steve Nyerere kuwa Waziri mkuu kuliko Tundu Lissu kuwa Raisi wa Tanzania. Bado siku 21 tu, Stay tuned.Ww pimbi unapangia watanzania wooote?!
Ndo nini hiki ulichoandika!?NAona msumari umekuingia vizuri sana. 🤣🤣🤣🤣😃😃😃
kwahiyo mtaiba kura?Hatutaki mtu mwenye wazo la kuingiza watoto wa watu barabarani wavunjike miguu.
Nyuzi zote za Erythrocyte kuhusu uchaguzi au kuhusu Lissu ama kuhusu Mahera zimeondolewaWamkopeka, Uzi wako hivi punde tu jf mods ama watauunganisha na Uzi mwingine au kuufuta. Mods wanaboa sana siku hizi. Sijui ni amri toka juu!!!
Mods wanaamri toka juuWamkopeka, Uzi wako hivi punde tu jf mods ama watauunganisha na Uzi mwingine au kuufuta. Mods wanaboa sana siku hizi. Sijui ni amri toka juu!!!
Mbona wewe umeolewa na watu hawasemi??Alitamka na anasisitiza. Ndiyo maana hata mabwana zake wanatoa nyaraka kila uchao. Mwambieni arudishe kishika uchumba alichopokea, urais hawez kupata.
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Wanajitahidi kusafisha taarifa za uongo na uchochezi.Nyuzi zote za Erythrocyte kuhusu uchaguzi au kuhusu Lissu ama kuhusu Mahera zimeondolewa
Ni NEC na CCM.Hatutaki mtu mwenye wazo la kuingiza watoto wa watu barabarani wavunjike miguu.
Mods wanakesha kuhakikisha taarifa za uongo na uchochezi hazichafui jina la JF.Mods wanaamri toka juu