Lissu ameeleza akihojiwa na bbc kwamba akishindwa ataingiza watu barabaraniMtazania shtuka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lissu ameeleza akihojiwa na bbc kwamba akishindwa ataingiza watu barabaraniMtazania shtuka.
Hii Huwezi kuelewa kwa vile umejaza "MBOJI"🤣🤣🤣 pale mahali juu ya shingo papapohusisha kufikiri,kutafusri mambo.Kashawishi ukoo wako wote, wilaya yako hata mkoa wote wampigie kura Lissu Ila nakuhakikishia Lissu hawezi kuwa Raisi wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania.. NEVER. Sio 2020 bali kamwe. Ni rahisi Steve Nyerere kuwa Waziri mkuu kuliko Tundu Lissu kuwa Raisi wa Tanzania. Bado siku 21 tu, Stay tuned.
Ndo nini hiki ulichoandika!?
Umejitahidi sana kumsafisha TL kutumia uongo. Ukweli ni kwamba JPJM ndiyo mtetezi wa wanyonge pamoja na rasilimali zetu KWA VITENDO. TL tayari kishasema wakipewa madaraka ataweka madini yetu dhamana KWA HAO MAKABURU. Ndiyo maana Amsterdam, Trippi, nk wanafanya kazi kutishia taifa huru kwa uchu wa madini yetu. AMKA MJOMBA MAKABURU HAWAKUPENDI, WANAPENDA MALI ZAKO.Tukiwa tumebakiwa na wiki tatu tu Watanzania tupige kura kuchagua Rais, wabunge na madiwani.
Licha ya kuwa na wagombea 15 wa kiti cha Rais lakini mpaka sasa wenye nguvu ya ushawishi ni kutoka vyama viwili vya CCM na CHADEMA.
Lakini kumekuwepo na kutumia nguvu kubwa sana kujaribu kupotosha kauli ya mgombea wa CHADEMA kwenye kampeni zake.
Wapinzani wake mara nyingi wamekuwa wakipotosha kwamba anasema kwenye uchaguzi huu lazima yeye atangazwe mshindi na kwamba asipotangazwa basi ataingiza watu barabarani.
Wenye kueneza upotoshaji huu kwangu mimi nawafananisha na maadui wa taifa hili kwasababu wanajaribu kumjengea chuki ya makusudi Mh.Lissu ili aonekane yeye yupo kwa ajili ya kuleta vurugu.
Lakini haishangazi maana watu hao hao ndio wanasema Lissu ametumwa na Mabeberu, mara akishinda atauza nchi.
Hawa ni wapotoshaji ambao kwa kiasi kikubwa wametawaliwa na ubinafsi, unafiki, na uchu wa kutawala ambao lengo lake si kwa maslahi mapana ya nchi na wananchi wote bali wao na familia zao.
Lissu mara zote ameweka wazi msimamo wake kwamba pamoja na tume kutokuwa huru lakini anachotaka ni uchaguzi wa haki na huru. Kwa maana kwamba kusiwepo na mizengwe na figisu figisu kama ilivyozoeleka kwenye chaguzi zote. Amesema akishindwa kwa haki hatakuwa na shida na yeyote na atakuwa wa kwanza kukubali matokeo, kinyume chake anesema hakitaeleweka.
Sasa unajiuliza hawa wapotoshaji wanaogopa nini kuendesha uchaguzi wa huru haki na uwazi? Kama wanaamini wanakubalika sana kwa watanzania kwa namna wanavyoongoza nchi sasa hofu yao inatokana na nini?
Ukijaribu kuitafakari kauli yao kwamba Lissu ametumwa na Mabeberu na kwamba akishinda urais atauza nchi, yaani utagundua kuwa ni kauli ya kipuuzi iliyokosa maana kabisa.
Maana Lissu ni mtanzania kama walivyo wao, tofauti yao ni kwamba wakati Lissu amepambana kwa miaka 17 kutetea raslimali za nchi hii, hao wapotoshaji walikuwepo na hawajawahi kukemea au kusema lolote juu ya ujambazi unaofanyika kwenye raslimali asili zetu kwa baraka za ccm. Zaidi sana wakamuona Lissu kama anakwamisha maendeleo wakamfungulia kesi ili wafunge.
Lissu kwa miaka yote ameonekana kuwa adui mkubwa wa serikali ya CCM kwasababu ya msimamo wake wa kutetea raslimali za nchi hii. Mpaka sasa raslimali zetu zinaendelea kuwafaidisha hao wanaoitwa mabeberu kama walivyokabidhiwa na serikali ya ccm kupitia sera waliyoibatiza jina la wawekezaji..
Wapotoshaji hao hapo huwezi kuwasikia wakisema lolote.
Watanzania tuamke usingizini, hawa wenzetu wanachokipigania ni maslahi yao na ya familia zao. Wanaona ujio wa Lissu ni tishio kwao na kwamba akishinda hivyo madhambi yao yatawekwa wazi ndio maana wanapigana kufa na kupona kumzuia asishinde ili kulinda madhambi yao.
Mtazania shtuka.
Naona una masikio yanayosikia yasiyosikika kwa wengine. Kwa ujumla Lissu wako anajisemea lolote, popote! Leo hili kesho lile na hana kumbukumbu ya jana. Unahangika bure kufafanua wakati wote tunasikia anachosema. Wapiga kura ktk umri wa miaka 18 na zaidi hatuwezi kushindwa kusikia anachosema kwa usahihi. Tuachie tu, tunasubili 28 oktoba.Tukiwa tumebakiwa na wiki tatu tu Watanzania tupige kura kuchagua Rais, wabunge na madiwani.
Licha ya kuwa na wagombea 15 wa kiti cha Rais lakini mpaka sasa wenye nguvu ya ushawishi ni kutoka vyama viwili vya CCM na CHADEMA.
Lakini kumekuwepo na kutumia nguvu kubwa sana kujaribu kupotosha kauli ya mgombea wa CHADEMA kwenye kampeni zake.
Wapinzani wake mara nyingi wamekuwa wakipotosha kwamba anasema kwenye uchaguzi huu lazima yeye atangazwe mshindi na kwamba asipotangazwa basi ataingiza watu barabarani.
Wenye kueneza upotoshaji huu kwangu mimi nawafananisha na maadui wa taifa hili kwasababu wanajaribu kumjengea chuki ya makusudi Mh.Lissu ili aonekane yeye yupo kwa ajili ya kuleta vurugu.
Lakini haishangazi maana watu hao hao ndio wanasema Lissu ametumwa na Mabeberu, mara akishinda atauza nchi.
Hawa ni wapotoshaji ambao kwa kiasi kikubwa wametawaliwa na ubinafsi, unafiki, na uchu wa kutawala ambao lengo lake si kwa maslahi mapana ya nchi na wananchi wote bali wao na familia zao.
Lissu mara zote ameweka wazi msimamo wake kwamba pamoja na tume kutokuwa huru lakini anachotaka ni uchaguzi wa haki na huru. Kwa maana kwamba kusiwepo na mizengwe na figisu figisu kama ilivyozoeleka kwenye chaguzi zote. Amesema akishindwa kwa haki hatakuwa na shida na yeyote na atakuwa wa kwanza kukubali matokeo, kinyume chake anesema hakitaeleweka.
Sasa unajiuliza hawa wapotoshaji wanaogopa nini kuendesha uchaguzi wa huru haki na uwazi? Kama wanaamini wanakubalika sana kwa watanzania kwa namna wanavyoongoza nchi sasa hofu yao inatokana na nini?
Ukijaribu kuitafakari kauli yao kwamba Lissu ametumwa na Mabeberu na kwamba akishinda urais atauza nchi, yaani utagundua kuwa ni kauli ya kipuuzi iliyokosa maana kabisa.
Maana Lissu ni mtanzania kama walivyo wao, tofauti yao ni kwamba wakati Lissu amepambana kwa miaka 17 kutetea raslimali za nchi hii, hao wapotoshaji walikuwepo na hawajawahi kukemea au kusema lolote juu ya ujambazi unaofanyika kwenye raslimali asili zetu kwa baraka za ccm. Zaidi sana wakamuona Lissu kama anakwamisha maendeleo wakamfungulia kesi ili wafunge.
Lissu kwa miaka yote ameonekana kuwa adui mkubwa wa serikali ya CCM kwasababu ya msimamo wake wa kutetea raslimali za nchi hii. Mpaka sasa raslimali zetu zinaendelea kuwafaidisha hao wanaoitwa mabeberu kama walivyokabidhiwa na serikali ya ccm kupitia sera waliyoibatiza jina la wawekezaji..
Wapotoshaji hao hapo huwezi kuwasikia wakisema lolote.
Watanzania tuamke usingizini, hawa wenzetu wanachokipigania ni maslahi yao na ya familia zao. Wanaona ujio wa Lissu ni tishio kwao na kwamba akishinda hivyo madhambi yao yatawekwa wazi ndio maana wanapigana kufa na kupona kumzuia asishinde ili kulinda madhambi yao.
Mtazania shtuka.
Ukiona manyoya...Nyuzi zote za Erythrocyte kuhusu uchaguzi au kuhusu Lissu ama kuhusu Mahera zimeondolewa
Sasa Lisu kusali azania front nayo unataka iwe taarifa ya kujaza saver za jf kwa muda wots huo?Yaani Mods waogope nyuzi za CHADEMA hata zilizo live huko ndio kulinda image kwa namna gani, hata taarifa ya Lissu kusali Azania Front nayo ukiiondoa unalinda image ya JF? Hii kwangu ni mpya sana!
Hatutaki mtu mwenye wazo la kuingiza watoto wa watu barabarani wavunjike miguu.
Jifunze kwanza kuandika ndiyo utoe komenti humu, sijui ccm huwa inawatoa wapi watu kama nyieTuliaaa wewe Tume kama Sio Huru Mliingia Kugombea ili Iwaje Mnajua Hamtashinda ndio maana Mnalopoka lopokaa ovyoo
Mbona huyu anahamasisha vurugu lakini haguswi.Lissu ameeleza akihojiwa na bbc kwamba akishindwa ataingiza watu barabarani
Pamoja na ujinga wako bora kura yangu nikupe wew lakini siyo JiweSawa mkuu, asante sana kwa muda wako.
Tumpatie Magufuli 5 mingine ili nchi yetu isonge mbele zaidi.
Hakuna adui mkubwa Tz kama Jiwe, amka mkuuUmejitahidi sana kumsafisha TL kutumia uongo. Ukweli ni kwamba JPJM ndiyo mtetezi wa wanyonge pamoja na rasilimali zetu KWA VITENDO. TL tayari kishasema wakipewa madaraka ataweka madini yetu dhamana KWA HAO MAKABURU. Ndiyo maana Amsterdam, Trippi, nk wanafanya kazi kutishia taifa huru kwa uchu wa madini yetu. AMKA MJOMBA MAKABURU HAWAKUPENDI, WANAPENDA MALI ZAKO.