C-C Digital Pro
JF-Expert Member
- Mar 15, 2026
- 361
- 532
UPOTOSHAJI WA MALISA GJ NI WA KUPUUZWA, SINA MPANGO WA KUDAI FIDIA BAADA YA KUSHINDA KESI, MIMI SINA DHIKI YA KISIASA MPAKA NIDAI FIDIA, NINAJITOSHELEZA NA SIASA ZENU NIMEWAA CHIA.
Bwana Malisa ameandika waraka wa uongo mwanzo mwisho juu yangu CIVILIAN COIN ambaye yeye kanitambulisha Kama Deogratius Kisandu kwa jina nisilolitumia kwasasa na ambalo sijashitakiwa nalo.
Mimi nilishitakiwa Kama Civilian Coin@Kisandu na mama yangu mzazi kwa mikwazano ya kifamilia na nipo naishi na mama yangu nyumbani Kahama na hatutaki ujinga wenu wa kisiasa, Mimi sijashitakiwa Kuwaita viongozi wachawi labda Kama mnajipendekeza kwenye kesi yangu ili muonekane mnaakili kumbe mafala wakubwa. Na waliozusha nimekufa ni vichaa wa mirembe au?
Pia kifungo Cha kwanza nilifungwa miaka 3 na sio 2 Kama alivyopotosha Godlisten.
Nimeshinda kesi baada ya kukaa gerezani miaka takribani 4 na hivyo sitaki kudai fidia yoyote maana nikidai fidia nakuwa namudai mama yangu mzazi na hivyo siwezi kudai chochote kile, nampenda mama yangu pamoja na mapungufu yaliyojitokeza ya kifamilia.
Pia Mimi sio Mwanasiasa kwasasa, hivyo msinifatilie kuhusu kesi yangu, mniache nitulie. Sina njaa mpaka niombe kulipwa fidia. Jamani acheni familia yangu itulie, subirini maajaabu ya Musa yanakuja. Kama mulikuwa mnanipenda kweli mbona hamja wahi kuniwekea Wakili tangu kesi ile ya kwanza na Wala hamja wahi kuja kuniona gerezani, acheni upumbavu wenu.
Ndimi CIVILIAN COIN-mtoto wa Kisandu.