Danny Jully
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 4,416
- 3,860
Weweee! Tunaongea habari ya watalii hewa hapa, siyo habari ya koona. Koona imeshaisha TZ, hiyo sasa hivi siyo issue tena.Vipi zile video za wafu wa korona walioamua kubebana huku wamevaa singlend lissu amesitisha kuzitengeneza!
Wao wanjiona ndiyo wanamfurahisha mteuzi wao kumbe ndiyo wanazidi kuharibu.
Enzi hizi siyo za kudanganyana kama zile za RTD pekee yake kama chanzo cha kuwapatia habari wananchi wa Tanzania.
In God we Trust
Vipi zile video za wafu wa korona walioamua kubebana huku wamevaa singlend lissu amesitisha kuzitengeneza!
Wana uso wa.mbuzi hao, hawaoni aibu.
Eti watalii waanza kumiminika......!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa yanazungumziwa mamlaka ya Rais kunajisiwa tumia akili bwana upara!Msigwa kakana juzi kuwa aliamua tu kuendesha siasa chafu za kumchafua kinana!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Akili ni nywele.....Bwana upara sasa inakuwaje?Hapa yanazungumziwa mamlaka ya Rais kunajisiwa tumia akili bwana upara!
Sent using Jamii Forums mobile app