Upotoshaji wa wateule wa Rais

Upotoshaji wa wateule wa Rais

Usishangae kukuta hilo wazo ni la kwake.

Wao wanjiona ndiyo wanamfurahisha mteuzi wao kumbe ndiyo wanazidi kuharibu.

Enzi hizi siyo za kudanganyana kama zile za RTD pekee yake kama chanzo cha kuwapatia habari wananchi wa Tanzania.

In God we Trust
 
Muulize yeye maana naamini unamfahamu sana kwani ile kazi uliyo ifanya ukafeli hukupewa kwa bahati mbaya
Vipi zile video za wafu wa korona walioamua kubebana huku wamevaa singlend lissu amesitisha kuzitengeneza!

In God we Trust
 
Back
Top Bottom