INAUZWA UPS used inauzwa bei rahisi sana

INAUZWA UPS used inauzwa bei rahisi sana

CFO

Member
Joined
Oct 1, 2017
Posts
42
Reaction score
77
salaam...

kama unahitaji UPS used kwa bei rahisi ya kutupa njoo pm au weka comment hapa.

picha zime ambatanishwa.

nb: battery imeisha, itabidi ui-replace kabla hujaanza kuitumia.

sina matumizi nayo tena, ndio maana naiuza. kwa anaehitaji tuwasiliane.

IMG_2717.JPG
IMG_2722.JPG
IMG_2716.JPG
 
bei : tshs 25,000/=

napatikana : Dar es salaam

kwa anae hitaji, ni pm.
 
natoa 20% Discount

bei mpya ni 20,000/=

wahi sasa kabla sijafunga duka.
 
Nina uhakika gani kuwa nikiweka betry mpya itanya kazi.
kama haitafanya kazi utarudishiwa pesa yako full (elfu 20) na battery utakaa nayo. ila asilimia kubwa itafanya kazi kwani ni brand nzuri sana hizi APC.
 
niuzie iyo kitu.....naona pm zangu hazifiki
 
Back
Top Bottom