l"llllMadame naomba unisaidie kitu, aliingia MP tarehe 1/4 2019 nikasex nae hadi tarehe 28 mwezi wa nne, akaondoka Kwenda nyumbani kuwasalimia, Alikuwa akilalamika chuchu zinamuuma!!! Tarehe 9/4 akapima upt akakutwa negative, aliporudi Huku ninapokaa tarehe 12/4 nikaendeleza sex ila akawa anaanza kulalamika kuhusu baadhi ya vyakula kunukia vibaya,jana trehe 25 tulipopima upt ikasoma positive, nashindwa kuelewa
1:mimba aliipata mwezi gani?
2:Alipokuwa Home yaani kuanzia tarehe 28-11 Yawezekana alipatia huko? Japo tarehe 9/4 alipima akakuta negative, nisaidie pls, my phone number is 0789896075, Kama ukipenda pia twaweza kuongea madame