UPT inaweza kusoma mimba ya siku 10?

Hivo alivobadili mazingira bas afate huo mzunguko wa zamani halaf asiwe na msongo wa mawazo awe kawaida ale vizur apumzike vya kutosha
Naomben msada kama kuna dawa inayozuia mimba ikiwa umekutana na bint akiwa siku za hatari
 
Naomben msada kama kuna dawa inayozuia mimba ikiwa umekutana na bint akiwa siku za hatari
kama mmefanya na siku tatu hazijapita mnunulie emmergency pills ama maarufu kama ptwo
 
pangilia hizo tarehe vizur yan mlifanya kuanzia tarehe moja mwezi wa nne mpaka tarehe 28 mwezi wa nne non stop?? Hiyo tarehe 12/4 ipi tena mkafanya
 
pangilia hizo tarehe vizur yan mlifanya kuanzia tarehe moja mwezi wa nne mpaka tarehe 28 mwezi wa nne non stop?? Hiyo tarehe 12/4 ipi tena mkafanya
Nilikuwa napiga goli moja kila Sa 11 alfajiri, hapo nilikosea ni tarehe 12/05
 
Wewe hueleweki,kwanini mwanaume unajiuliza swali dhaifu kiasi hiki?hapo #2 unaposema aliipatia huko home alipoenda ina maana unahisi ulisaidiwa au?maana maelezo yako ni kama vile tayari nyumbani mtu anatema mate ila hujiamini kama upo active au lah!

Cha msingi ulishamtembezea mtu pvmbv kaa relax subiri humo ndani watoto walie hizi vurugu za mpaka kuanika mawasiliano yako humu mtandaoni ni kuzidi kujitia pressure je baba mkwe akipita anga hizi akakukuta akakupigia akakuuliza umueleze kama wewe ni hanithi utamwambiaje?muhimu shukuru Mungu kwa hatua mliyofikia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…