Upungu wa Nguvu za Kiume ni nini?

Upungu wa Nguvu za Kiume ni nini?

Ryzen

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2012
Posts
7,301
Reaction score
8,706
Mara nyingi nimekuwa nikisikia hili neno Upungufu wa nguvu za kiume...Mpaka kuona mabango na Matangazo

Je kwa wajuzi nini Maana hasa ya upungufu wa Nguvu za Kiume na Husababishwa na nini?
 
Inategemea na uliyekutana nae kipimo kiko biased sana kutokana na comparison ya personal experience ya anaekwanguliwa
 
Inategemea na uliyekutana nae kipimo kiko biased sana kutokana na comparison ya personal experience ya anaekwanguliwa
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom