Upungufu mkubwa wa Sindano waja. Nashauri MSD na Wizara ya Afya wajiandae

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,780
Reaction score
15,488
Ushauri wangu ni huu

Hakikisheni mnazo sindano za kutosha kuchanja. Kama sindano ni za kuagiza agizeni za kutosha. Mwaka huu mwishoni na mwaka kesho kutatokea upungufu mkubwa wa sindano kutokana hasa na chanjo Duniani.

Inabidi wizara iwe na uweza wa kufikiria mbali hayo ndiyo mawazo yangu
 
Kuna hospital ya serikali nilishangaa wanachemsha sindano I thought akichomwa mtu huwa zinatupwa?
 
Ipo kampuni ya wakenya walipewa zabuni ya kusambaza vifaa vya aina hiyo.

Hivyo bila shaka MSD wamejiandaa.
 
Ubaya ni kwamba viifaa vingi vinavyotoka India na China vitakuwa shida kupata maana wenyewe wana watu wengi sana wanaohitaji chanjo kwa mabilioni. Isije ikafika mahali sindano zinarudiwa au kuchemshwa kama zamani.
 
Sio kila sindano (syringe/needle) inatumika kwenye chanjo hizi za covid...

Kwa msaada pitia hapa

Ubaya ni kwamba viifaa vingi vinavyotoka India na China vitakuwa shida kupata maana wenyewe wana watu wengi sana wanaohitaji chanjo kwa mabilioni. Isije ikafika mahali sindano zinarudiwa au kuchemshwa kama zamani.
Nadhani muda si mrefu tutaanza kuchemsha.
 
Ushauri wangu ni huu

Hakikisheni mnazo sindano za kutosha kuchanja. Kama sindano ni za kuagiza agizeni za kutosha. Mwaka huu mwishoni na mwaka kesho kutatokea upungufu mkubwa wa sindano kutokana hasa na chanjo Duniani.

Inabidi wizara iwe na uweza wa kufikiria mbali hayo ndiyo mawazo yangu
Hapo wanasubiri kupiga dili ya vifaa tiba
 
Ushauri wangu ni huu

Hakikisheni mnazo sindano za kutosha kuchanja. Kama sindano ni za kuagiza agizeni za kutosha. Mwaka huu mwishoni na mwaka kesho kutatokea upungufu mkubwa wa sindano kutokana hasa na chanjo Duniani.

Inabidi wizara iwe na uweza wa kufikiria mbali hayo ndiyo mawazo yangu

Tulisema July
 
Back
Top Bottom