Ipo kampuni ya wakenya walipewa zabuni ya kusambaza vifaa vya aina hiyo.
Hivyo bila shaka MSD wamejiandaa.
Nadhani muda si mrefu tutaanza kuchemsha.Ubaya ni kwamba viifaa vingi vinavyotoka India na China vitakuwa shida kupata maana wenyewe wana watu wengi sana wanaohitaji chanjo kwa mabilioni. Isije ikafika mahali sindano zinarudiwa au kuchemshwa kama zamani.
Hapo wanasubiri kupiga dili ya vifaa tibaUshauri wangu ni huu
Hakikisheni mnazo sindano za kutosha kuchanja. Kama sindano ni za kuagiza agizeni za kutosha. Mwaka huu mwishoni na mwaka kesho kutatokea upungufu mkubwa wa sindano kutokana hasa na chanjo Duniani.
Inabidi wizara iwe na uweza wa kufikiria mbali hayo ndiyo mawazo yangu
Ushauri wangu ni huu