Mapungufu ya Damu kwa mama mjamzito huweza kupelekea ukuaji hafifu wa mtoto alieko tumboni, kuzaa mtoto njiti, mtoto kufia tumboni na pia chupa ya mtoto tumboni kupasuka kabla ya wakati || kiasi cha damu kuanzia 9g/dl – 10.9 g/dl huwesabika kama mild Anemia