Heshima kwenu wakuu
natumai mmeamka vyema
Natamani kujua juu ya jambo hili la kupungukiwa damu .
Ilikua mwaka jana rafiki yangu kipenzi alimpoteza mdogo wake sababu ilikua kupungukiwa damu
...Leo pia nafika kazini naambiwa (yule masai fundi viatu anaeshoneaga hapa kafiwa na mwanae wakwanza)
Nkauliza shida nin nkaambiwa alikua anapungukiwa damu
hivyo wakuu naombeni kujua mtu anapungukiwaje damu
inakaukaje wakati hajaumia
au sio kama gari inavyokura mafuta
yani anaishiwaje damu
na kipi kifanyike isitokee
#ahsanteni kwa kunifundisha.