UPUNGUFU WA DAMU

UPUNGUFU WA DAMU

Voxwiser

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2017
Posts
1,094
Reaction score
1,353
Heshima kwenu wakuu
natumai mmeamka vyema

Natamani kujua juu ya jambo hili la kupungukiwa damu .
Ilikua mwaka jana rafiki yangu kipenzi alimpoteza mdogo wake sababu ilikua kupungukiwa damu
...Leo pia nafika kazini naambiwa (yule masai fundi viatu anaeshoneaga hapa kafiwa na mwanae wakwanza)
Nkauliza shida nin nkaambiwa alikua anapungukiwa damu

hivyo wakuu naombeni kujua mtu anapungukiwaje damu
inakaukaje wakati hajaumia
au sio kama gari inavyokura mafuta
yani anaishiwaje damu
na kipi kifanyike isitokee

#ahsanteni kwa kunifundisha.
 
Mwilii unahitaji madini na vitamin fulani ili ujiendeshe. Vitu hivyo kitaalamu huitwa electrolytes. Kwa uchache tu iron, potassium, sodium magnesium na vinginevyo.

electrolytes husafirishwa kwa damu huduma sehemu zote za mwili. Iron kazi yake ni kusafirisha oxygen. Kama huna iron ya kutosha inamaana mwili haupati oxygen ya kutosha.

Dalili za kwanza utajisijia umechoka muda wote.
 
Mwilii unahitaji madini na vitamin fulani ili ujiendeshe. Vitu hivyo kitaalamu huitwa electrolytes. Kwa uchache tu iron, potassium, sodium magnesium na vinginevyo.

I electrolytes husafirishwa kwa damu huduma sehemu zote za mwili. Iron kazi yake ni kusafirisha oxygen. Kama huna iron ya kutosha inamaana mwili haupati oxygen ya kutosha.

Dalili za kwanza utajisijia umechoka muda wote.
Its all about anaemia Madame..

Mwaga shule hapo..
 
Mwilii unahitaji madini na vitamin fulani ili ujiendeshe. Vitu hivyo kitaalamu huitwa electrolytes. Kwa uchache tu iron, potassium, sodium magnesium na vinginevyo.

I electrolytes husafirishwa kwa damu huduma sehemu zote za mwili. Iron kazi yake ni kusafirisha oxygen. Kama huna iron ya kutosha inamaana mwili haupati oxygen ya kutosha.

Dalili za kwanza utajisijia umechoka muda wote.
Unafanya nini au unakula nini ili upate iron ya kutosha mwilini?
 
Nyama ya ngombe, mbuzi au kondoo, maini, mchicha, machungwa na mananasi
Ndugu yangu napambana na uric acid hapa hivyo vyote nimekatazwa balaa ila nimependa uelewa wako kwenye maswala ya afya naamini unawasaidia wengi kama ulivyofanya
 
Back
Top Bottom