Its all about anaemia Madame..Mwilii unahitaji madini na vitamin fulani ili ujiendeshe. Vitu hivyo kitaalamu huitwa electrolytes. Kwa uchache tu iron, potassium, sodium magnesium na vinginevyo.
I electrolytes husafirishwa kwa damu huduma sehemu zote za mwili. Iron kazi yake ni kusafirisha oxygen. Kama huna iron ya kutosha inamaana mwili haupati oxygen ya kutosha.
Dalili za kwanza utajisijia umechoka muda wote.
Sawa mkuuNgoja wataalam waje
Unafanya nini au unakula nini ili upate iron ya kutosha mwilini?Mwilii unahitaji madini na vitamin fulani ili ujiendeshe. Vitu hivyo kitaalamu huitwa electrolytes. Kwa uchache tu iron, potassium, sodium magnesium na vinginevyo.
I electrolytes husafirishwa kwa damu huduma sehemu zote za mwili. Iron kazi yake ni kusafirisha oxygen. Kama huna iron ya kutosha inamaana mwili haupati oxygen ya kutosha.
Dalili za kwanza utajisijia umechoka muda wote.
Nyama ya ngombe, mbuzi au kondoo, maini, mchicha, machungwa na mananasiUnafanya nini au unakula nini ili upate iron ya kutosha mwilini?
Ndugu yangu napambana na uric acid hapa hivyo vyote nimekatazwa balaa ila nimependa uelewa wako kwenye maswala ya afya naamini unawasaidia wengi kama ulivyofanyaNyama ya ngombe, mbuzi au kondoo, maini, mchicha, machungwa na mananasi