johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kwa mujibu wa uongozi wa soko la kuku Shekilango na Manzese ni kwamba kuna uhaba mkubwa wa kuku wa kisasa (broiler) sokoni hali inayopelekea wauza chips kutatizika
Inadaiwa uhaba huo huenda umesababishwa na katazo la serikali la kuagiza vifaranga kutoka nje ya nchi
Source: ITV habari
Inadaiwa uhaba huo huenda umesababishwa na katazo la serikali la kuagiza vifaranga kutoka nje ya nchi
Source: ITV habari