Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,215
- 3,076
Waziri Ulega alituaminisha kuwa mama amefungua nchi hivyo vifaranga ni inshu ndogo sana wawekezaji tayari wapo mtamboni. Kumbe ....Ilipo pigwa marufuku kuingiza vifaranga toka nje, niliweka angalizo, isije kuwa na lawama kama tozo. Sasa mambo yameanza. Mawazo ya kukurupuka.
Kuna kigogo alianzisha mradi wake wa vifaranga akataka kuulinda akidhani anahudumia kata.