johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Nashisha meku!bRoiler sio bLoiler,
Kuchanga L na R litangazwe janga la kitaifa
Nashisha meku!
Ahsante kwa marekebisho
Mungu akujalie uuze sana hao Kitu moto wako
Nchi gani haina kodi?Nchi hii uzalishaji unazidi kupungua kutokana na utitiri wa kodi.
Utitiri republkiNchi gani haina kodi?
Mbatizaji wananchi hawakatai kulipa kodi bali utitiri wa kodi na ukubwa wa kodi hizo. Pia hawaoni kinachorudi kwao zaidi ya kuona ma v8 barabarani. Kinachotozwa hakilingani na kinachoenda kwa wananchi. Shida imeanzia hapo.tozo hizo haziwanufaishi wananchi bali zinawafanya kuwa maskini zaidi.vigogo ndo wanaonufaika na hizo tozo ndo maana wanaweza kuagiza hata mabasi 60 kwa mkupuo.Nchi gani haina kodi?
Kama a na ha.....!!bRoiler sio bLoiler,
Kuchanganya L na R litangazwe janga la kitaifa
Labda mkaa tuKwa hiyo wazalishaji wa Tanzania ni zero kabisa, yaani hakuna kitu tunaweza kujitosheleza..
Wanaweza kuongeza toza za kununua v8Kama kuzalisha kuku tu tumeshindwa, tutaweza nini sasa?
Makuku mengi yana dawa nyingi, antibiotics, chanjo kibao. Sasa unakula kuku au pharmacy?Safi Acha wapote kuleni mboga za majani sasa
Kuku wenyewe wamejazwa madawa
Kibao....
Ova