Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,215
- 3,076
Waziri Ulega alituaminisha kuwa mama amefungua nchi hivyo vifaranga ni inshu ndogo sana wawekezaji tayari wapo mtamboni. Kumbe ....Ilipo pigwa marufuku kuingiza vifaranga toka nje, niliweka angalizo, isije kuwa na lawama kama tozo. Sasa mambo yameanza. Mawazo ya kukurupuka.
Kuna kigogo alianzisha mradi wake wa vifaranga akataka kuulinda akidhani anahudumia kata.
Nilimsikia yule waziri wa mifugo akihojiwa na akina Kipanya clouds kwamba kweli wamefanya utafiti wa kutosha wa kujua vifaranga nchini vinatosheleza akawa anajibu kwa kujiamini kwamba ndiyo..Serikali inashindwa kujua soko la ndani lina uwezo kiasi gani wa kuzalisha kuku?mana unapoa kua uanzuia uingizwaji wa vifaranga toka nje manake unajitosheleza kwa soko la ndani.
Hii ni kukurupuka ki maamuzi.
#MaendeleoHayanaChama
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Note... 'utitiri wa kodi'.... Mfano mafuta ya magari yana kodi zaidi ya 10...Nchi gani haina kodi?
Mawaziri na wabunge wengi wa nchii ni vilaza..hapo wamepewa vibahasha tu ndio wakapitisha hilo katazo.Nilimsikia yule waziri wa mifugo akihojiwa na akina Kipanya clouds kwamba kweli wamefanya utafiti wa kutosha wa kujua vifaranga nchini vinatosheleza akawa anajibu kwa kujiamini kwamba ndiyo..
Mawaziri na wabunge wengi wa nchii ni vilaza..hapo wamepewa vibahasha tu ndio wakapitisha hilo katazo.
#MaendeleoHayanaChama
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Yaani Tanzania tumeshindea kuzalisha vifaranga! Je makampuni yaliyokuwepo yamekufa kama kiwanda ya Nyama Kawe!?Kwa mujibu wa uongozi wa soko la kuku Shekilango na Manzese ni kwamba kuna uhaba mkubwa wa kuku wa kisasa (broiler) sokoni hali inayopelekea wauza chips kutatizika
Inadaiwa uhaba huo huenda umesababishwa na katazo la serikali la kuagiza vifaranga kutoka nje ya nchi
Source: ITV habari
Fugeni kuku wa kienyeji kuliko kula hayo makuku yasiyo na ladha,
Tuna kuku wa 5 jike 3, jogoo 2,
Tokea mwezi wa saba hadi huu wa tisa tumeshazalisha vifaranga 36,
Tumemteua jike mmoja tu wa kulea vifaranga wengine kazi yao kutaga na kutotoa,wakitotoa tunawanyang'anya vifaranga. hivyo kwasasa mmoja anakalia na mwingine anataga,
NB,hatuuzi ni kwa matumizi ya nyama na mayai.
Shida ipo hapo,hii inawafaaa wasio stoo[emoji23][emoji23]Tufugie kwenye hizi stoo zetu?
Fuga tu mbona zamani tulikuwa tunalala nao ndani safi tuTufugie kwenye hizi stoo zetu?