kichema
Senior Member
- Mar 31, 2015
- 137
- 39
Kuna jambo haliniingii kichwani. Jana nimemuona Waziri Mkenda na Balozi wa Netherlands hapa nchini Tanzania wakiwa ARUSHA wakizungumzia juu ya upungufu wa mafuta ya kula. Sijamuelewa maana huku mafuta yapo na ya kutosha na hayana wanunuzi. Wao wanataka mafuta yapi?