"Mtanikumbuka"Kuna jambo haliniingii kichwani. Jana nimemuona Waziri Mkenda na Balozi wa Netherlands hapa nchini Tanzania wakiwa ARUSHA wakizungumzia juu ya upungufu wa mafuta ya kula. Sijamuelewa maana huku mafuta yapo na ya kutosha na hayana wanunuzi. Wao wanataka mafuta yapi?
Mo dewji lazima afike 5 bora ya matajiri barani Africa.maana anapiga tu hela kupitia mafuta anayoyazalisha kwenye kiwanda chake.maana sio kwa hzi beiMimi hili sakata la mafuta ya kula kwakweli silielewi kabisa...
Kwa mabaya."Mtanikumbuka"
Madukani, barabarani Igunga to Singida, viwanda vidogovidogo Morogoro na Gairo mafuta yamekaa na hawana order yoyote. Kama Kuna upungufu tungeanzia hapa.Mleta mada hayo mafuta yako wapi
Upo singida?Madukani, barabarani Igunga to Singida, viwanda vidogovidogo Morogoro na Gairo mafuta yamekaa na hawana order yoyote. Kama Kuna upungufu tungeanzia hapa.
Kwetu sisi wakulima wa Alizeti, gunia la kg 60 ni Kati ya Shs (60 - 80)k na ukikamua unapata Lita (25 - 27). na hatuna wanunuzi wa uhakika. Sasa uhaba huko wapi???
Nitakutafuta mkuuNipo
Yule bwana msomari kabla ya kuwa Waziri alikuwa na nondo nzito kuhusu masoko, irrigation na Koroshow inputs Cha ajabu toka amekuwa Waziri,matatizo ya mbegu feki yanazidi,na masoko ya koroshow bado ni ndoto,kiukweli hakuna siku mambo yatabdirika kwa huu mtindo wa kukopa ili tupate maendeleo,ni mikataba gani ya Siri inaongoza nchii hii mpaka iwe soko la bidhaa kwa kila bidhaa.Mafuta ni mfano hai,kweli hata alizeti itushinde,hapana.Serikali ingewezesha watz kuwekeza kwenye kilimo cha mafuta ya kula nchini ingemaliza tatizo la ajira nchini,ikapata pesa nyingi Sana kuliko kutegemea kukamua watz kodi Ili iende.Ni aibu sana kwa maji ya mitoni kumwagika baharini badala ya mashambani
Yupo pale kulinda biashara zakeYule bwana msomari kabla ya kuwa Waziri alikuwa na mondo nzito kuhusu masoko, irrigation na Koroshow inputs Cha ajabu toka amekuwa Waziri,matatizo ya mbegi feki yanazidi,na masoko ya korosho bado ni ndoto,kiukweli hakuna siku mambo yatabdirika kwa huu mtindo wa kukopa ili tupate maendeleo,ni mikataba gani ya Siri inaongoza nchii hii mpaka iwe soko la bidhaa kwa kila bidhaa.Mafuta ni mfano hai,kweli hata alizeti itushinde,hapana.