Upungufu wa mbegu za kiume

Upungufu wa mbegu za kiume

iconman

Member
Joined
Mar 4, 2014
Posts
28
Reaction score
13
Naombeni msaada wenu nina tatizo la upungufu wa mbegu za kiume na nilikwenda hospitali ya rufaa mbeya nilifanya vipimo na ningependa kuweka hapa ili kama naweza kupata msaada toka kwa watalaam wanisaidie . nilifanya vipimo viwili i mean sperm analysis na urine. naanza na urine . majibu ya macroscopic examination ni haya . colour-pale yellow ,turbidity-clear. . urine chemistry -Microscopic examination , leucocytes :WBC 5-/0/HPF seen. Urobilinogen:Epithelial cells. seen 17. na majibu ya sperm analysis yalikuwa hivi. Macroscopically . About 3.2m/s of normal looking seminal fluid.
Viscosity-normal .

Motility- Quantitative;- 40% motile
spermatozoa
Qualitative;- poor forward proggressive spermatozoa

Sperm Count; 1.8 million/ed

micro:
The smear showed spermatozoa with microheads and spermatide at different stages of maturity
Condition; 1. poor forward mortility
2. Oligosperma
3. poor morphology.

baada ya kupewa majibu nilimpatia dokta kwa . niliambiwa ni poor sperm motality na niliambiwa ni attend MDPD pale rufaa huko nako niliambiwa nina matatizo haya poor oligosperma and poor motality . ila cha kunisikitisha zaidi huyu dokta toka department ya MDPD aliniambia siwez kukuandikia dawa hapa ila uje kwenye hospital yangu . na mimi siku ile nilikuwa nimeshakata tiket ya kuja dar siku inayofuata . sasa wadau naombeni msaada nifanyaje ili niweze kupata mtoto maana imeonesha kuwa nashindwa kupata mtoto kwa sababu hizo . nipen ushaur nifanyaje au niende wapi ili kupata dawa za kutatua hili tatizo langu na tayari nina mke na huu ni mwaka wa pili .
 
!
!
pole sana mdau......ila kienyeji nasikia mihogo mibichi karanga vinasaidia. Ukipata ufumbuzi wa swali lako hata kama ni nje ya hapa tupe mrejesho hapa jamvini.
 
Pole sana. Hilo ni tatizo dogo. kama bado linakusumbua ntafute nitakushauri cha kufanya kwa hilo tatizo.linatibika na unapona 0689 417 472
 
haya wenye babu zao wanadawa walipewa , ila tushiriki wote sio mnatumia pm na simu tafadhari ?
 
Pole sana. Hilo ni tatizo dogo. kama bado linakusumbua ntafute nitakushauri cha kufanya kwa hilo tatizo.linatibika na unapona 0689 417 472

Mkuu weka elimu hapa tufaidike wote Please!!
 
Pole sana. Hilo ni tatizo dogo. kama bado linakusumbua ntafute nitakushauri cha kufanya kwa hilo tatizo.linatibika na unapona 0689 417 472

tatizo dogo , si useme hapa ufumbuzi wake!
 
pole iconman! ila ninayo dawa ya virutubisho kutoka Marekani (dietary supplement) itakuondolea hilo tatizo na utapata mtoto! ni PM nikupe go ahead! nimeshuhudia wengi walikuwa na tatizo hilo na sasa ndoa zao zinadumu maana wana watoto!
 
Nadhan jf kuna watu wanatumia kutimiza fursa zao mtu kaleta mada jukwaan we una sema aku pm au unatoa namba za cm ili iweje? Mnakera bna
 
nenda hospital hapa utakuja kupewa majani ya michungwa iliyokauka na kuambiwa ni dawa kwa kifupi hapa jf utaibiwa na wasaka tonge.
 
Back
Top Bottom