health
JF-Expert Member
- Aug 21, 2012
- 325
- 39
- Thread starter
-
- #41
huu ni wizi tu. kwa nn usimweleze mtu aende kwanza hospital. wewe unataka kutuaminisha kuwa hizi njugu zako ni mwisho wakati huna reference yeyote ile. acha bana, hurumieni watu nyie waganga wa kienyeji. tumechoka na mabango yenu kwenye nguzo za umeme, barabarani na humu jf. mm sasa naanza kuyang'oa.
Hospitalini watu siyo kuwa hawaendi. Wanakwenda kufanya vipimo vyote na kuona hawana shida na wanapewa dawa ambazo hutumia na baadaye hakuna mafanikio isitoshe dawa nyingi za hospitalini inatakiwa kutumia pale unapokuwa unahitaji na kama usipotumia huwezi kufanya chochote. Isitoshe huwa zinazidi kudidimiza uwezo uliokuwepo. Ni bora kipi kudidimiza uwezo kabisa au kutibu tatizo?