Upungufu wa nguvu za kiume(hanisi)

Upungufu wa nguvu za kiume(hanisi)

huu ni wizi tu. kwa nn usimweleze mtu aende kwanza hospital. wewe unataka kutuaminisha kuwa hizi njugu zako ni mwisho wakati huna reference yeyote ile. acha bana, hurumieni watu nyie waganga wa kienyeji. tumechoka na mabango yenu kwenye nguzo za umeme, barabarani na humu jf. mm sasa naanza kuyang'oa.

Hospitalini watu siyo kuwa hawaendi. Wanakwenda kufanya vipimo vyote na kuona hawana shida na wanapewa dawa ambazo hutumia na baadaye hakuna mafanikio isitoshe dawa nyingi za hospitalini inatakiwa kutumia pale unapokuwa unahitaji na kama usipotumia huwezi kufanya chochote. Isitoshe huwa zinazidi kudidimiza uwezo uliokuwepo. Ni bora kipi kudidimiza uwezo kabisa au kutibu tatizo?
 
DR. Eti mtu mwenye kende moja hazai? pls nisaidi aiseee!!

Kama kuna mtu mwenye tatizo lolote anatakiwa kwenda hospitalini achukuliwe vipimo ili aweze kugundua kama ana tatizo ama laa.
 
Nimekuwa nikipata sms na email nyingi sana kuhusiana na dawa.
Napenda kuwakumbusha tena hizi siyo dawa bali ni food suppliments. Dawa ni zile ambazo matumizi yake huwa zinakuwa na madhara katika mwili japokuwa wengi hawafahamu. Mfano mtu anakuwa anahisi tatizo na kwenda mara moja Pharmacy kuchukua dawa na baada ya muda mfupi anahisi amepona lakini baada ya siku siyo nyingi anajikuta akirudia tena kufanya hivyo tena na tena. Ushauri ni kuwa ukiwa na tatizo nenda hospitalini uweze kugundua chanzo cha tatizo na namna ya kupata tiba. Mimi ukiniambia una tatizo lazima nikuulize kama ulishakwenda hospitalini kugundua chanzo cha tatizo na namna ulivyopata tiba.

Shukrani
 
Kwa hiyo mtu akinywa hii revive atakuwa amepona kabisa au ndio itabidi awe anakunywa kila wakati?
 
Kwa hiyo mtu akinywa hii revive atakuwa amepona kabisa au ndio itabidi awe anakunywa kila wakati?

Mtu akitumia hii lishe atakuwa amemaliza tatizo lake alilokuwa nalo. Shukrani kwa swali zuri
 
Ni muhimu pia kwa wale wanaohitaji kupata shuhuda za watu wengine wazione. Fuatilia link hii hapa Testimony-REVIVE
 
Kuna watu wengi walikuwa wanaulizia kuhusu kupata uhakika kama kweli zinafanya kazi njema na watu kuzifurahia. Napenda kwa yeyote asiwe na maswali mengi bali awe mwenye kuamini kuhusu lishe asilia inavyokuwa na uwezo mkubwa wa kutibu.
Fuatilia shuhuda za watu waliokwishatumia hapa chini.

Testimony-REVIVE
 
Nafurahi kuwa nimewezeza kuwashirikisha wengi kuhusiana na namna ya kuwa na afya njema na napenda pia wengine waendelee kushirikishana zaidi. Napenda kuwaeleza pia pamoja na kuwa nimewashirikisha kwa moyo mmoja ningependa pia kuwahamasisha kuwa tayari kuweza kusoma na kuelewa vizuri kuhusiana na mada husika kabla ya kuchukua namba ya simu. Nahimiza kusoma kwa sababu huwa wapo wengi wanakuwa na maswali mengi sana kutokana na kutokusoma hata kidogo na kukimbilia tu kuchukua namba. Akiulizwa A hajui wala Z hajui inakuwa tabu kidogo sababu nashughulika na watu wengi. Mtu akitaka pia kupata na ushuhuda wa wa baadhi ya watu ambao walishatumia na wanaamini katika lishe asilia wanaweza kutembelea link hii Testimony-REVIVE

Shukrani na karibu sana.
 
Back
Top Bottom