Upungufu wa nguvu za kiume

kusima kwa shida pia kushindwa kuamka baada ya bao la kwanza
hawa wanawake nao wanachangia kupungua nguvu mkuu, baada ya bao la kwanza mtu haoneshi manjonjo wala hamasa ya kumuamsha mzee upya

ukiweka na mawazo yako kwamba jamaa ni mzembe kuamka inakuwa shida mara 2 kupata awamu ya 2

cha muhimu kuwa na mawazo chanya juu ya hali iyo na ule vzr
 
Pole sana mkuu, kwa umri wako bado ujachelewa,... Punguza stress na woga wakati wakufanya tendo,.. Jiamin alafu kula vyakula vyeny virutubisho ving vya protein, ila sio mayai, kula samaki, nyama(red meat), na tengeneza juice ya vitunguu inasaidia, au carrot zile ndogo ndogo,..
 
All the above
 
Yote hayo uliyoyataja

Sent from my TV
 
ni mda sasa zaidi ya mara tatu nikikutana na mwenzangu nikishindwa kufanya kitu yaani sisimamishi vizuri pia hata hisia nashindwa
punguza mawazo
kula vizuri (epuka vyakula vya mafuta mengi
fanya mazoezi*
kunywa maji mengi na kwa wakati
lala vizuri
mche mungu*
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…