zipompa
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 11,432
- 24,596
hawa wanawake nao wanachangia kupungua nguvu mkuu, baada ya bao la kwanza mtu haoneshi manjonjo wala hamasa ya kumuamsha mzee upyakusima kwa shida pia kushindwa kuamka baada ya bao la kwanza
ukiweka na mawazo yako kwamba jamaa ni mzembe kuamka inakuwa shida mara 2 kupata awamu ya 2
cha muhimu kuwa na mawazo chanya juu ya hali iyo na ule vzr