Upungufu wa nguvu za kiume

Dawa Ni kula vizuri, samaki, mboga za majani Pamoja Na matunda!
Achana Na ma pizza, baga Na machips kuku mkuu!!
Wananiudhi mimi unakuta dume anakula chipsi kila siku, badae analalama ati hana nguvu wtf!
Tatizo wanapenda vitu vinono na mafuta kibao bila kusahau mayonnaise

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kawe padre tu upate maisha mazuri eden.... kuliko kuharibu pesa then zikusababishie sins .... adhabu yake ni heavy

Sent from "La -Vista"
 
Twende pamoja...KWANZA NENDA LIKIZO YA KU-DO ...Acha kwa mda flan...say 2months...THEN...

1. Acha nyeto

2. Baada ya kuacha...anza mazoezi hasa ya kukimbia na kuruka kama plus squarts...

3. Acha woga...

4. Kabla ya gem fanya maandalizi sio unadandia kama jogoo

5. Jiamin na acha papara wakati wa gemu..

6. Ukitimiza yote hayo...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hawa wanawake nao wanachangia kupungua nguvu mkuu, baada ya bao la kwanza mtu haoneshi manjonjo wala hamasa ya kumuamsha mzee upya

ukiweka na mawazo yako kwamba jamaa ni mzembe kuamka inakuwa shida mara 2 kupata awamu ya 2
Tatizo si wanawake akisema kachoka mke atafanya nini!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu wakati naingia kwenye industry ya "mtanange" nilikuwa ni bao 2 nimemaliz kazi na nikawa na mawazo hayo siwezi mtanange zaidi ya goli 2

siku moja nkapata mdada ana amsha asham si mchezo mi bao 2 najua tayari si kashika dushe kalitupia kwa kinywa kitu "bj" nkaend la 3, tukalala asubuhi la 4

nikagundua wakati mwingine wanawake wanaweza changia kupafomu chini ya kiwango na kujihisi huna uwezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…