sinajinasasa
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 2,988
- 4,152
Acha punyeto, afu una fanya kazi gani? aina ya kazi pia inaweza kupunguza nguvu, na njaakusima kwa shida pia kushindwa kuamka baada ya bao la kwanza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha punyeto, afu una fanya kazi gani? aina ya kazi pia inaweza kupunguza nguvu, na njaakusima kwa shida pia kushindwa kuamka baada ya bao la kwanza
Ok, baada ya hapo uliacha au unaendelea kidogo kidogo.mwaka jana tu
Punguza pressure mkuu twende nae taratibu tutajua chanzo tu kulingana na uwazi wa majibu yake.Acha punyeto, afu una fanya kazi gani? aina ya kazi pia inaweza kupunguza nguvu, na njaa
ni mda mfupi tu nimeacha
kwanini mkuuinabidi uhame Dar mkuu!
Wananiudhi mimi unakuta dume anakula chipsi kila siku, badae analalama ati hana nguvu wtf!Dawa Ni kula vizuri, samaki, mboga za majani Pamoja Na matunda!
Achana Na ma pizza, baga Na machips kuku mkuu!!
Twende pamoja...KWANZA NENDA LIKIZO YA KU-DO ...Acha kwa mda flan...say 2months...THEN...miaka 23
[emoji2] [emoji2] [emoji2]daa yote hayo anakuwa nayo mtu mmoja, asa si bora ukate kifanyio icho kuliko kuwa unatenda dhambi za ajabu
Tatizo si wanawake akisema kachoka mke atafanya nini!hawa wanawake nao wanachangia kupungua nguvu mkuu, baada ya bao la kwanza mtu haoneshi manjonjo wala hamasa ya kumuamsha mzee upya
ukiweka na mawazo yako kwamba jamaa ni mzembe kuamka inakuwa shida mara 2 kupata awamu ya 2
Basi chanzo ni hilo uliloliendekeza, ok ni bora uache kabisa maana siamini kama umeacha moja kwa moja nna mashaka na hilo hausemi ukweli.ni mda mfupi tu nimeacha
miaka 23
fine