Wilaya ya kiteto iliyoko mkoani Manyara, inakabiliwa na upungufu wa walimu 670 wa shule za msingi hivyo Serikali na wadau wa maendeleo wametakiwa kushirikiana kutatua changamoto hiyo, ili kuongeza kiwango cha ufaulu wa wanafunzi.
Hivi ni kweli walimu wote wameajirowa kiasi kwamba tunapata upungufu wa walimu 670? Serikali iseme Haina Hela ya kuajiri basi wasisingizie upungufu.
Wamekazana kujenga madarasa sijui nani anafundisha kwenye hayo madarasa.