Upunguvu wa Nguvu za Kiume ni nini?

Upunguvu wa Nguvu za Kiume ni nini?

1. Yaache pombe za kiwandani, ulanzi na gongo yanywe pombe za vilabuni tu (wanzuki, mbege, kangara kwa sababu zina wanga wa kutosha). K-VANT inaangamiza taifa.

2. Yasile Chinese Spinach.

3. Yarudi nyumbani si zaidi ya saa 12 jioni. Yezebeli anaanzaga mawindo saa 12:1 jioni ili kupeleka watu bar na nyumba za wageni ili aue nguvu za kiume.

4. Yaache mihogo wabichi na pweza, yatafune karanga wabichi na nazi wabichi.

5. Yatelekeze nyumba ndogo zote.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Stress na kutofanya mazoezi na mpangilio wa chakula na matunda bila kusahau mboga za majani...
 
Maridhiano yameshindikana juu ya tafsiri sahihi ya dhana ya upungufu wa nguvu za kiume.

1. Wengine husema upungufu wa nguvu za kiume humaanisha mwanaume kuwa na mbegu kidogo kwamba hawezi kuzitoa zaidi ya mara moja katika tendo moja la ndoa.

2. Wengine wanaamini upungufu wa nguvu za kiume humaanisha mwanaume kushindwa kurudia tendo la ndoa kufuatia uume kusinyaa baada ya mshindo wa kwanza kukamilika.

3. Wengine wanaamini upungufu wa nguvu za kiume humaanisha mwanaume kuchelewa kufika kileleni.

4. Wengine wanaamini upungufu wa nguvu za kiume humaanisha mwanaume kuwahi kufika kileleni.

5. Wengine wanaamini upungufu wa nguvu za kiume humaanisha mwanaume mwenye siha kushindwa kutunga mimba kwa mwanamke.

6. Je, Towashi hana nguvu za kiume?

Ipi ni tafsiri sahihi kati ya hizo 6?

Sintojuwa hii imetoa mwanya kwa kila mtu kuja na tafsiri yake huku waganga wa kienyeji na wa kisayansi kutumia mwanya huu kuvuna ela.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app

Unaanza kuwapiga spanner kabla hawajakupa ushauri,utapata ushauri kweli🤔
 
Stress na kutofanya mazoezi na mpangilio wa chakula na matunda bila kusahau mboga za majani...
Mazoezi yawe ni prescribed PE. Siyo unaendesha baiskeli kila siku kama watani zangu Waha kuuza madafu na matunda toka Kigamboni hadi Boko na Wakurya kuuza mayai toka Mwanagati hadi Kibaha alafu awe na nguvu za kiume.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME HAUPO KABISA!

NI DHANA ILIYOANZISHWA KWA MALENGO YA JINSIA YA KIKE KUTAWALA YA KIUME KWA KUWAFANYA WANAUME TUWE WATUMWA WA KINGONO NA KIHISIA KWA WANAWAKE!

WAKATI ZAMANI WANAWAKE WALIJITAHIDI SANA KUWAPENDEZA WANAUME LEO WANAUME TUMEINGIA MKENGE WA KUWAPENDEZA WANAWAKE KWA DHANA YA KUWAHONGA VYA THAMANI NA KUWARIDHISHA WAO!

BAADA YA SISI WANAUME KUJIONA DUNI SANA KWA DHANA ZOTE MBILI TUKIWA FRUSTRATED WAKALETA USHOGA ILI KUTUMALIZA KABISAA KIAKILI!

DHANA YA NGUVU ZA KIUME NI LANGO LA KIBIASHARA,UTUMWA NA HATMA YAKE NDIO HUO USHOGA AMBAO NI BAADA YA WANAUME KUJIONA DUNI NA KUPEWA MBADALA KUWA UNAWEZA UKAWA SHOGA KAMA MAMBO YAKIWA MAGUMU!

VIA VYA UZAZI NA UBONGO WA WETU SISI WANAUME UMESHAMBULIWA SANA MWISHONI MWA KARNE YA 20 KUELEKEA 21 KAMA TUONAVYO LEO!!!
 
1. Yaache pombe za kiwandani, ulanzi na gongo yanywe pombe za vilabuni tu (wanzuki, mbege, kangara kwa sababu zina wanga wa kutosha). K-VANT inaangamiza taifa.

2. Yasile Chinese Spinach.

3. Yarudi nyumbani si zaidi ya saa 12 jioni. Yezebeli anaanzaga mawindo saa 12:1 jioni ili kupeleka watu bar na nyumba za wageni ili aue nguvu za kiume.

4. Yaache mihogo wabichi na pweza, yatafune karanga wabichi na nazi wabichi.

5. Yatelekeze nyumba ndogo zote.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom