Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Stress na kutofanya mazoezi na mpangilio wa chakula na matunda bila kusahau mboga za majani...1. Yaache pombe za kiwandani, ulanzi na gongo yanywe pombe za vilabuni tu (wanzuki, mbege, kangara kwa sababu zina wanga wa kutosha). K-VANT inaangamiza taifa.
2. Yasile Chinese Spinach.
3. Yarudi nyumbani si zaidi ya saa 12 jioni. Yezebeli anaanzaga mawindo saa 12:1 jioni ili kupeleka watu bar na nyumba za wageni ili aue nguvu za kiume.
4. Yaache mihogo wabichi na pweza, yatafune karanga wabichi na nazi wabichi.
5. Yatelekeze nyumba ndogo zote.
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Hasa wenye hela ndiyo kabisa. Siyo rahisi kama mnavyopenda kuamini. Mwanamke kwenye hela kazi sana kutoa kwa fukara.Mkuu.
Tumerejea mwanamke mwenye ela siyo mwanamke fukara anayesagura wanaume vibopa.
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Hatafuti ela kwa fukara bali utoshelevu.Hasa wenye hela ndiyo kabisa. Siyo rahisi kama mnavyopenda kuamini. Mwanamke kwenye hela kazi sana kutoa kwa fukara.
Unaanza kuwapiga spanner kabla hawajakupa ushauri,utapata ushauri kweli🤔Maridhiano yameshindikana juu ya tafsiri sahihi ya dhana ya upungufu wa nguvu za kiume.
1. Wengine husema upungufu wa nguvu za kiume humaanisha mwanaume kuwa na mbegu kidogo kwamba hawezi kuzitoa zaidi ya mara moja katika tendo moja la ndoa.
2. Wengine wanaamini upungufu wa nguvu za kiume humaanisha mwanaume kushindwa kurudia tendo la ndoa kufuatia uume kusinyaa baada ya mshindo wa kwanza kukamilika.
3. Wengine wanaamini upungufu wa nguvu za kiume humaanisha mwanaume kuchelewa kufika kileleni.
4. Wengine wanaamini upungufu wa nguvu za kiume humaanisha mwanaume kuwahi kufika kileleni.
5. Wengine wanaamini upungufu wa nguvu za kiume humaanisha mwanaume mwenye siha kushindwa kutunga mimba kwa mwanamke.
6. Je, Towashi hana nguvu za kiume?
Ipi ni tafsiri sahihi kati ya hizo 6?
Sintojuwa hii imetoa mwanya kwa kila mtu kuja na tafsiri yake huku waganga wa kienyeji na wa kisayansi kutumia mwanya huu kuvuna ela.
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Mazoezi yawe ni prescribed PE. Siyo unaendesha baiskeli kila siku kama watani zangu Waha kuuza madafu na matunda toka Kigamboni hadi Boko na Wakurya kuuza mayai toka Mwanagati hadi Kibaha alafu awe na nguvu za kiume.Stress na kutofanya mazoezi na mpangilio wa chakula na matunda bila kusahau mboga za majani...
[emoji38][emoji1][emoji3]Unaanza kuwapiga spanner kabla hawajajua ushauri,utapata ushauri kweli[emoji848]
Daaaah aiseeeMkuu.
Mimi niliishamaliza kuzaa, hivyo nguvu za wastani tu zinanitosha. Nawahurumia wale ambao bado wanashindana na matamanio kupita kiasi, maana wanajikuta wanafaidisha waganga tu [emoji16][emoji16][emoji16]
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Utoshelevu upi mkuu?
Hii siafikiWengine wanaamini upungufu wa nguvu za kiume humaanisha mwanaume kuchelewa kufika kileleni.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]1. Yaache pombe za kiwandani, ulanzi na gongo yanywe pombe za vilabuni tu (wanzuki, mbege, kangara kwa sababu zina wanga wa kutosha). K-VANT inaangamiza taifa.
2. Yasile Chinese Spinach.
3. Yarudi nyumbani si zaidi ya saa 12 jioni. Yezebeli anaanzaga mawindo saa 12:1 jioni ili kupeleka watu bar na nyumba za wageni ili aue nguvu za kiume.
4. Yaache mihogo wabichi na pweza, yatafune karanga wabichi na nazi wabichi.
5. Yatelekeze nyumba ndogo zote.
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app