Upuuzi mtupu, kwani fedha za Tone Tone ni ngapi mpaka machawa wawatoe kwenye reli. CHADEMA simama imara, msitoke kwenye malengo kwa rubbish hizo

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,815
Reaction score
103,955
Erythrocyte kuweni macho na upuuzi huu. Ksikubali kutoka kwenye malengo. Achaneni ja ujinga huu. Concentrate kwenye issues, pressing issues za chama kama ulinzi wa Heche na viongozi wengine. Nenda International to seek support from Europe, USA and the like.

KATAEMI KUYUMBISHWA, AS LONG AS HAKUNA UBADHILIFU, KAZA BUTI UKOMBOZI.

Bahati nzuri nakufahamu Erythrocyte you are smart! By tue way, Mwanahabari Huru aliishia wapi jamani?
 
Hao maduwanzi wamepigwa KO kila kona wakaona waje na haya matakataka, na hii ni mbinu ya kutaka kumweka Heche kati kirahisi maana mbinu nyingi zimefail. Kuna za chini ya kapeti kwamba farm kwa maelekezo kama kawaida anaingeneer hii ishu na mengineyo....
 
KUHOJI MATUMIZI NDANI YA CHADEMA IMEKUWA KOSA KUBWA KABISA KWA SASA, HIKI NI CHAMA CHA AINA GANI?.......JE KITAKAPOTWA MADARAKA ITAKUWAJE?......NI LAZIMA WATANZANIA HAWA WAJIULIZE!.........
#KUSHINDWA KUKOSOANA NDANI YA CHAMA NI TATIZO KUBWA SANA,AIDHA MKOSOAJI KUONEKANA MSALITI,HII NI SHIDA KUBWA SANA,JE YAKITUSHINDA YA NDANI YA CHAMA,TUTAWEZAJE KUWANYOOSHEA WENGINE KIDOLE
 
Akili za wabongo zina GB chache sana aisee, yani wapiga ruzuku na ufisadi hawaonekani roho zinawatoka kwa visenti vya maskini kwenye kikapu cha sadaka, vya kujazia mafuta yenye tozo lukuki zinazorudi kwenye familia zisizozidi 1000 za wakubwa wa sisiemu, na kulamba mihogo watu wanaoteseka kuzunguka mikoani kwa kujitolea!
 
KUHOJI MATUMIZI NDANI YA CHADEMA IMEKUWA KOSA KUBWA KABISA KWA SASA, HIKI NI CHAMA CHA AINA GANI?.......JE KITAKAPOTWA MADARAKA ITAKUWAJE?......NI LAZIMA WATANZANIA HAWA WAJIULIZE!.........
#KUSHINDWA KUKOSOANA NDANI YA CHAMA NI TATIZO KUBWA SANA,AIDHA MKOSOAJI KUONEKANA MSALITI,HII NI SHIDA KUBWA SANA,JE YAKITUSHINDA YA NDANI YA CHAMA,TUTAWEZAJE KUWANYOOSHEA WENGINE KIDOLE
Suala la matumizi ya ndani ya cdm, kwani chama kimeanza kufanya matumizi jana? Hiki siyo chama kipya! Matumizi yamefanyika miaka mingi tena billions of money, ukaguzi unafanyika na chama hakijawahi pata hati chafu au yenye mashaka labda kwa sasa ndio zengwe kinachofanyiwa kitengenezewe aina hizo za hati!
Hivi chama ambacho ukosoaji kwao ni dhambi ni chama gani...? Polepole alikuwa chadema..? Mzee Warioba hadi akapigwa pin nyumbani ni mwanachadema? Hayo uliyoyaandika ndio yanafanya wanaccm wote waonekana ni watu wenye chuki na upinzani!
 
Erythrocyte kuweni macho na upuuzi huu. Ksikubali kutoka kwenye malengo. Achaneni ja ujinga huu. Concentrate kwenye issues, pressing issues za chama kama ulinzi wa Heche na viongozi wengine. Nenda International to seek support from Europe, USA and the like.

KATAEMI KUYUMBISHWA, AS LONG AS HAKUNA UBADHILIFU, KAZA BUTI UKOMBOZI.

Bahati nzuri nakufahamu Erythrocyte you are smart! By tue way, Mwanahabari Huru aliishia wapi jamani?
kwani tone tone ni shilingi ngapi baba ilipatikana?🤣

hebu waondolee utata wenye wivu na nadhani itapendeza zaidi.

halafu ,
kwani huyo muungwana uliemtag na kumwambia awe macho,
kwani alikua kafumba macho na kulala usingizi jukwaani?🤣
 
CDM inapaswa kuwa makini sana katika kipindi hiki ambacho inaungwa mkono na wananchi waliokuwa wengi nchini. Wasikubali kuondolewa kwenye reli na propaganda za CCM.

Wanapigwa zongo, ila wakibweteka kidogo tu kina walamba. Wasipuuzie maneno haya ya propaganda chafu.

Viongozi wa juu wakutane katika kikao cha dharura ili kurekebisha hali na waweze kuepuka maneno haya ya kichochezi ambayo yanaweza kuwagawa wanachama na kupunguza kasi ya kuungwa mkono na umma wa Tanzania
 
KUHOJI MATUMIZI NDANI YA CHADEMA IMEKUWA KOSA KUBWA KABISA KWA SASA, HIKI NI CHAMA CHA AINA GANI?.......JE KITAKAPOTWA MADARAKA ITAKUWAJE?......NI LAZIMA WATANZANIA HAWA WAJIULIZE!.........
#KUSHINDWA KUKOSOANA NDANI YA CHAMA NI TATIZO KUBWA SANA,AIDHA MKOSOAJI KUONEKANA MSALITI,HII NI SHIDA KUBWA SANA,JE YAKITUSHINDA YA NDANI YA CHAMA,TUTAWEZAJE KUWANYOOSHEA WENGINE KIDOLE
Ulishawai kuhoji matumizi ndani ya ccm?
 
kwani tone tone ni shilingi ngapi baba ilipatikana?🤣

hebu waondolee utata wenye wivu na nadhani itapendeza zaidi.

halafu ,
kwani huyo muungwana uliemtag na kumwambia awe macho,
kwani alikua kafumba macho na kulala usingizi jukwaani?🤣
Nenda ofisini kwao!
 
Kwa CHADEMA hii ni ishu ndogo Sana na haina madhara yeyote huwezi kuiangusha CHADEMA Kwa propaganda za kipumbavu kama hizi...... CHADEMA ilishavuka Huko siku nyingi Sana
 
CDM inapaswa kuwa makini sana katika kipindi hiki ambacho inaungwa mkono na wananchi waliokuwa wengi nchini. Wasikubali kuondolewa kwenye reli na propaganda za CCM.

Wanapigwa zongo, ila wakibweteka kidogo tu kina walamba. Wasipuuzie maneno haya ya propaganda chafu.

Viongozi wa juu wakutane katika kikao cha dharura ili kurekebisha hali na waweze kuepuka maneno haya ya kichochezi ambayo yanaweza kuwagawa wanachama na kupunguza kasi ya kuungwa mkono na umma wa Tanzania
CHADEMA ni dude kubwa Sana imepitia mabonde na milima kwenye safari yake huwezi kuwadondosha kwasababu ya upuuzi kama huu
 
Erythrocyte kuweni macho na upuuzi huu. Ksikubali kutoka kwenye malengo. Achaneni ja ujinga huu. Concentrate kwenye issues, pressing issues za chama kama ulinzi wa Heche na viongozi wengine. Nenda International to seek support from Europe, USA and the like.

KATAEMI KUYUMBISHWA, AS LONG AS HAKUNA UBADHILIFU, KAZA BUTI UKOMBOZI.

Bahati nzuri nakufahamu Erythrocyte you are smart! By tue way, Mwanahabari Huru aliishia wapi jamani?
Shida ya wanachadema na wao wameibeba kuwa ajenda yao ya wiki.

Wafundisheni vijana wa chama kujua mambo ya kuzingatia na ya kupuuza.

Huwa mnajitoa kwenye focus wenyewe tu kwa kufuatilia usenge
 
Back
Top Bottom