Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 11,191
- 35,870
Kuna washamba humu JF hata siku akija kuvamiwa na kibaka ndani kwake then kwa bahati nzuri amdhibiti na kumkamata alafu baadae ajue wanashare nae majina ya itikadi moja ataishia kumuachia huru huku akilaumu system za kikristo ndio zimemsababisha awe kibaka.
Utu na haki aingaliwi tena hadi hapo tu vitakapolenga itikadi yake.
Inafikirisha ni namna gani mwanadamu anaweza kukatia tamaa utashi na ufahamu wake ili akombatie ideology ya mwanaume mwenzake na kuienzi kuliko utu wake.
🤡🚮