Upuuzi Wa Alikiba,Ujinga Wa Wema

Upuuzi Wa Alikiba,Ujinga Wa Wema

Wewe uliyeenda shule ndio uniambie sasa kwa nini sikutakiwa kuongea hivo.( waambie watu wakuelewe kwa nini unaona nasthili kuwa nyumbu na ni div 5 )
Unadai mwenzio yupo kwenye lift totally wew ni nyumbu na wewe kaa kwenye lift ufanikiwe
 
Asante mkuu kwa kuliona hilo hili jambo ni ukweli mtupu kwamba Kiba yupo kwenye lifti ya kile kinachoitwa "bifu" lakini nje ya hiko kitu Kiba si lolote si chochote. Halafu wapotezee wajinga wote wanaouponda huu uzi wako kwani wao ndio hawajitambui,kwasababu hapa ni celebbriety na hawa ndio hao ma-celebs muliokuwa munatuambia kipindi cha uchaguzi hawatakiwi kuwa upande wowote sasa leo vipi tukiongelea habari zao wakati tupo jukwaa sahihi kwa kitu sahihi na kama unatuona tunaoongea hapa ni wakosa kazi basi hata wewe ni mkosa kazi ndio maana umesoma na ukachangia la kama wa maana pita kimya.

Wewe pamoja na mleta uzi IQ low
 
Alikiba the so called King(Japo ni King Wa Ndotoni)Huyu Kaka Ni Mshamba Sana,Ni Kweli yeye ni Msanii Poa,Na Aliwahi Kufanya Vizuri Huko Nyuma(Japo Hakuwahi Kufika Hats Robo Ya Balaa La Juma Nature aka Kibra bin Kiroboto).

Habari Za Chini Ya Carpet Ni Kuwa,Huyu Kaka Anaomba Usiku na Mchana,Wema na Diamond Either Wasirudiane au Wasimalize tofauti Zao,hii ni kwa sababu msanii huyu aneyejiona Simba while Ni Paka tena aliyenyonyoka manyoya anaishi kwenye muziki kwa kubebwa na beef la nyota hawa wawili.

Inasemekana kuwa Kiba Ana wasiwasi mkubwa Sana Wa kurudi kwenye msoto tena kwa sababu beef la Wema na Diamond linafanya mashabiki Wa tunayeaminishwa kuwa ni tz Sweetheart aka Wema Sepetu Kumsapoti Kiba Japo kwa Unafiki Ili tu wasimdissapoint boss wao na kumkomesha Diamond ili ajione kuwa yeye bila Wema so kitu,ila mambo yakienda vise versa basi,Team Wema wote wataanza kumsapoti Diamond Hadharani...

Ni hayo tu
Eti hii na wewe umetoa la moyoni...
 
Unadai mwenzio yupo kwenye lift totally wew ni nyumbu na wewe kaa kwenye lift ufanikiwe
Kumbe wewe unajua kuwa kiba yupo kwenye lifti na hauna tatizo nalo ila unatushangaa sisi kwanini tunamzungumzia kiba kuwa kwenye lifti, ok iko hivi mashabiki wake wengi hawalikubali hili ndio maana mtoa mada kaliongelea kama kuwa taarifu wale wasiokubali. ( kumbuka umuhimu wa habari ni kuelimisha,kufaamisha na kuburudisha) kwahiyo hiyo ndio taarifa na mimi si nyumbu kwa kuwa nimeiunga mkono taarifa.
 
Nimekukubali mkuuu
 
Alikiba the so called King(Japo ni King Wa Ndotoni)Huyu Kaka Ni Mshamba Sana,Ni Kweli yeye ni Msanii Poa,Na Aliwahi Kufanya Vizuri Huko Nyuma(Japo Hakuwahi Kufika Hats Robo Ya Balaa La Juma Nature aka Kibra bin Kiroboto).

Habari Za Chini Ya Carpet Ni Kuwa,Huyu Kaka Anaomba Usiku na Mchana,Wema na Diamond Either Wasirudiane au Wasimalize tofauti Zao,hii ni kwa sababu msanii huyu aneyejiona Simba while Ni Paka tena aliyenyonyoka manyoya anaishi kwenye muziki kwa kubebwa na beef la nyota hawa wawili.

Inasemekana kuwa Kiba Ana wasiwasi mkubwa Sana Wa kurudi kwenye msoto tena kwa sababu beef la Wema na Diamond linafanya mashabiki Wa tunayeaminishwa kuwa ni tz Sweetheart aka Wema Sepetu Kumsapoti Kiba Japo kwa Unafiki Ili tu wasimdissapoint boss wao na kumkomesha Diamond ili ajione kuwa yeye bila Wema so kitu,ila mambo yakienda vise versa basi,Team Wema wote wataanza kumsapoti Diamond Hadharani...

Ni hayo tu
ningekuwa mimi ni wewe nisingeandika huu uzi kwa sababu.: diamond ana mke anaitwa zari na mtoto anaitwa tiffa. tena milionea haya mambo ya wema yanatoka wapi wakati humu humu jamvini katokea mbunge mashalhaa kam mamisha bint ZURI aka miss tz. tunachotaka kujua ni tiffa ana meno mangapi na kama anajua kutamka baba au mama.
 
Alikiba the so called King(Japo ni King Wa Ndotoni)Huyu Kaka Ni Mshamba Sana,Ni Kweli yeye ni Msanii Poa,Na Aliwahi Kufanya Vizuri Huko Nyuma(Japo Hakuwahi Kufika Hats Robo Ya Balaa La Juma Nature aka Kibra bin Kiroboto).

Habari Za Chini Ya Carpet Ni Kuwa,Huyu Kaka Anaomba Usiku na Mchana,Wema na Diamond Either Wasirudiane au Wasimalize tofauti Zao,hii ni kwa sababu msanii huyu aneyejiona Simba while Ni Paka tena aliyenyonyoka manyoya anaishi kwenye muziki kwa kubebwa na beef la nyota hawa wawili.

Inasemekana kuwa Kiba Ana wasiwasi mkubwa Sana Wa kurudi kwenye msoto tena kwa sababu beef la Wema na Diamond linafanya mashabiki Wa tunayeaminishwa kuwa ni tz Sweetheart aka Wema Sepetu Kumsapoti Kiba Japo kwa Unafiki Ili tu wasimdissapoint boss wao na kumkomesha Diamond ili ajione kuwa yeye bila Wema so kitu,ila mambo yakienda vise versa basi,Team Wema wote wataanza kumsapoti Diamond Hadharani...

Ni hayo tu
#Make Bongoflavor Safe Again And Great Again2016-DIAMONDPLATNUMZ
#Team Wasafi All The Way-2016.
 
Alikiba the so called King(Japo ni King Wa Ndotoni)Huyu Kaka Ni Mshamba Sana,Ni Kweli yeye ni Msanii Poa,Na Aliwahi Kufanya Vizuri Huko Nyuma(Japo Hakuwahi Kufika Hats Robo Ya Balaa La Juma Nature aka Kibra bin Kiroboto).

Habari Za Chini Ya Carpet Ni Kuwa,Huyu Kaka Anaomba Usiku na Mchana,Wema na Diamond Either Wasirudiane au Wasimalize tofauti Zao,hii ni kwa sababu msanii huyu aneyejiona Simba while Ni Paka tena aliyenyonyoka manyoya anaishi kwenye muziki kwa kubebwa na beef la nyota hawa wawili.

Inasemekana kuwa Kiba Ana wasiwasi mkubwa Sana Wa kurudi kwenye msoto tena kwa sababu beef la Wema na Diamond linafanya mashabiki Wa tunayeaminishwa kuwa ni tz Sweetheart aka Wema Sepetu Kumsapoti Kiba Japo kwa Unafiki Ili tu wasimdissapoint boss wao na kumkomesha Diamond ili ajione kuwa yeye bila Wema so kitu,ila mambo yakienda vise versa basi,Team Wema wote wataanza kumsapoti Diamond Hadharani...

Ni hayo tu
Sasa kati ya wewe na Ali Kiba nani mshamba?
 
Back
Top Bottom