Upuuzi Wa Alikiba,Ujinga Wa Wema

Wewe uliyeenda shule ndio uniambie sasa kwa nini sikutakiwa kuongea hivo.( waambie watu wakuelewe kwa nini unaona nasthili kuwa nyumbu na ni div 5 )
Unadai mwenzio yupo kwenye lift totally wew ni nyumbu na wewe kaa kwenye lift ufanikiwe
 

Wewe pamoja na mleta uzi IQ low
 
Habari za bongo fleva peleka fb huku umepotea njia
 
Eti hii na wewe umetoa la moyoni...
 
Unadai mwenzio yupo kwenye lift totally wew ni nyumbu na wewe kaa kwenye lift ufanikiwe
Kumbe wewe unajua kuwa kiba yupo kwenye lifti na hauna tatizo nalo ila unatushangaa sisi kwanini tunamzungumzia kiba kuwa kwenye lifti, ok iko hivi mashabiki wake wengi hawalikubali hili ndio maana mtoa mada kaliongelea kama kuwa taarifu wale wasiokubali. ( kumbuka umuhimu wa habari ni kuelimisha,kufaamisha na kuburudisha) kwahiyo hiyo ndio taarifa na mimi si nyumbu kwa kuwa nimeiunga mkono taarifa.
 
Nimekukubali mkuuu
 
ningekuwa mimi ni wewe nisingeandika huu uzi kwa sababu.: diamond ana mke anaitwa zari na mtoto anaitwa tiffa. tena milionea haya mambo ya wema yanatoka wapi wakati humu humu jamvini katokea mbunge mashalhaa kam mamisha bint ZURI aka miss tz. tunachotaka kujua ni tiffa ana meno mangapi na kama anajua kutamka baba au mama.
 
#Make Bongoflavor Safe Again And Great Again2016-DIAMONDPLATNUMZ
#Team Wasafi All The Way-2016.
 
Sasa kati ya wewe na Ali Kiba nani mshamba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…