Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
![]()
Wasiwasi wangu ni hivi vidole.
Asije akasababisha machafuko na upotevu wa amani.
![]()
Wasiwasi wangu ni hivi vidole.
Asije akasababisha machafuko na upotevu wa amani.
Ametuma ujumbe gani kwa Serikali na CHADEMA kwa cover yake hiyo?
Mbona Masoud Kipanya ninaye mfahamu ni mweusi na huyu mbona ni mweupe au Calorite imefanya kazi?
Tiba
![]()
...Ni Documentary hii imetengenezwa na Masoud Kipanya, imeingia sokoni jana 15/11/2011, tuitafute tuone kilichomo.
By the way Maisha Plus sijui iliishia wapii!!!
Kuliko hao wengi ambao tunaona hata hawana mchango kwa taifa.Huyu jamaa alistahili kupewa PhD kadhaa.. Yuko makini