Upuuzi wa Masoud Kipanya

tehetehe! Watu mna macho yani kazi yenu ni kuangalia kavaa nini kafanya nimi mwisho mtasema yule pembeni ni pesant son! ...lol
 
Namkubali Masoud kipanya, he is genious!
 


Wasiwasi wangu ni hivi vidole.
Asije akasababisha machafuko na upotevu wa amani.

Mbona Masoud Kipanya ninaye mfahamu ni mweusi na huyu mbona ni mweupe au Calorite imefanya kazi?

Tiba
 
Just thinking ingawa sijaiona...vipande 26(mikoa yetu?).Wale viongozi walikula vipande vingapi...nahisi kama walivimaliza,si ndiyo viongozi wetu wanavyofanya!
Kipanya is another sign that Mungu anaipenda Tanzania ndio maana akatupa watu wenye ubongo darubini na kwa kuwatumia watu nchi hii itakombolewa tu.(By the way,title ya thread hii ni usanii tosha...nimeingia kwa kuhema nikiwaza nani tena anamponda Kipanya!)
 
Ametuma ujumbe gani kwa Serikali na CHADEMA kwa cover yake hiyo?

chadema ipi?kwani hujavaa kaptula za kaki shuleni? Mbona polisi wanavaa kaki? Kwa hiyo nao ni chadema? Na aliyevaa black tuseme ni msiba cover? Acha kuwaza kicameroun cameroun.
 
Mbona Masoud Kipanya ninaye mfahamu ni mweusi na huyu mbona ni mweupe au Calorite imefanya kazi?

Tiba

mkuu aio carolite hiyo,hiyo ni photo effects za corel or adobe photo shop
 
huyu bwana ana uwezo mkubwa sana wa kuwasilisha matatizo ya watanzania kwa dk chache kwa hadhira kubwa kuliko mfano
 
Siwezi kununua upuuzi............
 
inawezekana kuna vitu va maaana na venye mantiki humo ndani.
Ila kaamua tu kuiita upuuzi.
 
Clouds wangemlemaza bora uliondoka wangekufanya uwe mnafiki na ubunifu wako ambao unaweza kuisahihisha serikali na jamii kwa ujumla tusingeupata otherwise hongera na Mungu akutangulie
 

...Ni Documentary hii imetengenezwa na Masoud Kipanya, imeingia sokoni jana 15/11/2011, tuitafute tuone kilichomo.
By the way Maisha Plus sijui iliishia wapii!!!


 
Last edited by a moderator:
alisema cd yake itauzwa only tshs.3000/=
but sijajua upatikanaji wake.
 
Nilimuona TBC nimependezwa nayo sana! kweli hiki ni kichwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…