Kachanchabuseta
JF-Expert Member
- Mar 8, 2010
- 7,264
- 678
Ni kitendo cha kusikitisha kila siku serikali inasema haina madaktari
hawa Clinical Officers walikuwa wanafanya practice kwenye Hospital mbalimbali
lakini wasema wapply tena for the second round lakin wamkekuwalimited kuapply vyuo vitatu
IMTU, kampala university na St. John University
Mimi nimeenda kuwaona leo wananiambia Muhimbil, kairuki, KCMC na bugando vimejaa, nikawauliza sasa
niapply wapi? wakasema IMTU, St.JOhn na kampala lakini cha kushangaza hivi vyuo vyote wametoa nafsi kidogo kwa
wale wote wenye diploma in clinical medicine (clinical officer) Mfano IMTU Nacte wana nafsi 15, Kampala wana nafsi 10 na St. John nafsi 4.
Sasa kwa nafsi hizi watu wataapply wapi? mara ya kwanza Nacte walipewa nafsi 55 kwa sector yoyote ya afya na sasa wametoa nafsi 29 na waliotupwa nje ni 185
Je hawa clinical officer hawatakiwi??