Upuuzi wa NACTE NA TCU: 185 CLINICAL OFFICERS WATUPWA NJE

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2010
Posts
7,264
Reaction score
678
Ni kitendo cha kusikitisha kila siku serikali inasema haina madaktari
hawa Clinical Officers walikuwa wanafanya practice kwenye Hospital mbalimbali
lakini wasema wapply tena for the second round lakin wamkekuwalimited kuapply vyuo vitatu
IMTU, kampala university na St. John University

Mimi nimeenda kuwaona leo wananiambia Muhimbil, kairuki, KCMC na bugando vimejaa, nikawauliza sasa
niapply wapi? wakasema IMTU, St.JOhn na kampala lakini cha kushangaza hivi vyuo vyote wametoa nafsi kidogo kwa
wale wote wenye diploma in clinical medicine (clinical officer) Mfano IMTU Nacte wana nafsi 15, Kampala wana nafsi 10 na St. John nafsi 4.

Sasa kwa nafsi hizi watu wataapply wapi? mara ya kwanza Nacte walipewa nafsi 55 kwa sector yoyote ya afya na sasa wametoa nafsi 29 na waliotupwa nje ni 185

Je hawa clinical officer hawatakiwi??
 
ni competition ndio kubwa mheshimiwa,piriorities wanapewa form6 waliofaulu div1&div2 PCB kuwa selected(muhas,bugando,kcmc) hawa wanapata pia goverment grant na sio loan,nafasi zinapobaki ndio wengine kama CO wanakuwa selected na wanakuwa eligible kwa loan na sio grant
 
kwani ndugu ulikuwa na ufaulu upi au GPA gani? kwa chuo na secondary?
 
Asante mkuu hata kama wanatoa priorities kwa form6 wa division 1 & II mimi nina experience na hawa clinical officers inapokuja issue ya utendaji kazini, kumbuka hawa wanaexperience kubwa kuliko hawa form 6 hata kama kapata div I, nenda pale Kairuki uone clinical officers waliojoin na experience wanavyobuluza watu.

Serikali inabidi kuangalia huu uteuzi maana kila siku wanalalamika madaktari hakuna

Kwa Nacte kupewa nafsi 84 kwa sector ya afya sio sawa arafu wanawadanganya watu eti waapply for the second round huu ni upuuzi
 
Kwa ufaulu nilionao nina uhakika chuo cha afya ningepata lakini kwa sababu ya uhuni wa TCU na NACTE wanatudangaya eti tuapply upya wakati hakuna kitu
 
kwa ww uktaka kuajiriwa unapata ajira! Je form 6 inawezekana? Jiulizeee
 
Kwa limited chances na funding , NACTE hawajafanya makosa kuweka hizo criteria. Walau wewe una diploma ya clinical medicine meaning unaweza kupata ajira- Ila hawa watoto wa form six hawana chance hata ya ajira sasa lazima wao wapewe first priority. Na suala la utendaji ,sawa clinic officers wana uzoefu umeshasema, let the young ones also get the experience . All in all ndio few resources scambling game hiyo ambapo wanafaidi wachache . Ukiona hamna chance , piga kazi until the chance comes.
 
Asante mimi sijasema hawa form6 wasipate nafsi tena kama kunauwezekano wate waoqulify wachukuli wote hoja yangu ni kwa serikali kuwatema hawa clinical officers ambao wangalisadia taifa kwa upungufu wa madaktari

Walisema UDOM inachukua 40,000 students ikiwemo idadi kumbwa ya sector ya afya sasa kwanini wote form 6 na clinical officers wasipewe nafsi?
nyikau kwa taarifa hawa clinical officers kwa vijijini wanafanya kazi kubwa sasa wakitaka kujiendeleza ndio imekuwa nogwa?
 
Last edited by a moderator:
Asante mkuu hata kama wanatoa priorities kwa form6 wa division 1 & II mimi nina experience na hawa clinical officers inapokuja issue ya utendaji kazini, kumbuka hawa wanaexperience kubwa kuliko hawa form 6 hata kama kapata div I, nenda pale Kairuki uone clinical officers waliojoin na experience wanavyobuluza watu.

Serikali inabidi kuangalia huu uteuzi maana kila siku wanalalamika madaktari hakuna

Kwa Nacte kupewa nafsi 84 kwa sector ya afya sio sawa arafu wanawadanganya watu eti waapply for the second round huu ni upuuzi

Ni ukweli lakini mgumu.
Nchi yetu inatatizo zaidi la watendaji katika middle level, kuliko wale wenye degree. Si kwa afya tu, hata engineering n.k
Hosp ama taasisi zingine ni lazima zijue zinao na zinahitaji juniors na seniors wangapi ili kubalance utendaji wa kazi. Si kila anaesoma ni wathamani kama huzibi mapengo ya 'juniors'.
Ni kweli wanaotoka form 6 wako shallow kwa practice (japo mie naona ni mwanzoni tu), hii haifanyi makundi haya yawe na equal advantage kwenye admission. Hii ni kwasababu teaching approach ya diploma na degree ni tofauti.
Kinachoniuma mie zaidi ni kuona COs wachache tu ndo wanaajiriwa serikalini. Na bila aibu serikali Ime-declare ubungufu wao hata kuanzisha kuanzisha kozi ya medical rural ili kuziba mapengo yao, wakati wamejaa mtaani.

tragedy of the commons
 
Back
Top Bottom