Upuuzi wa William Malechela Le Mutuz

mh kweli kina mama wengine wanasafisha matumbo jamaa asingezaliwa bimkubwa angesumbuliwa na michango.

Uknw Mimi ni Celebrity mkubwa ndio maana mnaniongelea ...nafanya biashara ya utumbo na nina ingiza hela na makampuni makubwa yanagombana kutumia kurasa zangu kuweka matangazo uknw...super gardem mazafantaz wananionea wivu hahahaha! I like it
 

Attachments

  • 1415742383038.jpg
    59.8 KB · Views: 775
Huyu jamaa ndio ameshakwama. Mwacheni tu. Hahahahahaaaa!
Ova

Unkw another day another dollar hahahahaha super gardem mazafantaz wananifanya nizidi kupata matangzo I like it..
 
Uknw nakubalika sana ndio maana wanaona wivu hahahahaha I like it....

Mkuu unampatia sana hahahahah huwa nacheka sana alivyoweka ile picha yake ya kidato cha pili eti kabla hajaju letamkozzz hahahah lemutuzzz lemburuzzz ni shidaaaaa
 
Kwa haraka haraka hapo ktk hizo post mbili ana like km 900..kwa siku akipata hizo likes kadhaa mara post kadhaa...kaingiza mtonyo...

Kweli mkuu huyu jamaa ametushika coz anifanya nicheke sanaaa mimi
 
Kuna mtu anaitwa shangaziyakematikibikoyao kweny instagram nda wanadisiana humo balaa yaani ukicheki comment zao utacheka ufee
 
Bila shaka nifah utakuwa hujacheka kabisa hahahahahah uknw I love it ....letamkoz

Yani kamtafuta Sitti mpaka kampata!Kweli huyu babu kibokoooo....ila Zari amwotee akirudi tena kuja kukamilisha project....Babu mnafiki kamkazania vile Sitti kumbe kisa picha nilisema mie....
 
Last edited by a moderator:
Hivi huyu jamaa anaumri gani..?
....mkuu huyu jamaa mkubwa...ingawa sijui umri kamili ....ILA anafanya MAKUSUDI kwa maana ya kuongeza followers
huwa nakaaga naye mara chache chache pale ESCAPE 1...ni anajua anachofanya ...tena hivi tunavyojadili anafurahia

kwema lakini mkuu!@Kabanga
 
Ananifurahisha sana huyu jamaaa

Alishaibukaga ofisini kwetu anambwembweπŸ˜•πŸ˜•πŸ˜• anadhani kila mtu anamfaham kwa sisi WA mitandao , Kwavile tunamjua ulikuwa rahisi kwa mie kujua huyu ndo le mburulaz nkampatia alichokuwa anataka......
 
Le mutuz alimfukuzia Zari akapewa za mbavu saizi anamuonea wivu NDOMO anapiga zigo kiulaini
 
Naona alitaka followers,yaani mjinga kwa kweli eti anawadanganya watu ni project,eti katumwa na diamond.Huyu baba hana kazi kabisa kila tukio analo,alinisikitisha alipomfuatilia mkongo eti akamwambia katembea na mastaa wengi,Le mutuz sijui alifaidika nini,.Pole kwa wanae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…