Upuuzi wa William Malechela Le Mutuz

Upuuzi wa William Malechela Le Mutuz

Hahahaaaaa eti now this is "LE SUPER TAMKOZZ"
Nimecheka hatariiiiii long live Le Mutuz....
With you....no more stress
Hivi huyu Nifah kapotelea wapi au ndio mambo ya watu wasiojulikana wamefanya yao?!!!
 
- So kujiita Dr. na picha ya bandia unasema ndio kuwa na akili? hahahahahaha mbona kama umejisema mwenyewe kuwa ni mburulazzz maana mtu mwenye akili hawezi kujiiita DR. na picha ya bandia akitumia jina la bandia, unasema una akili mkuu? kama unazo basi sizitaki tena hahahahahaha

le Mutuz
K100 unaitwa huku jf na wazee wenzio wa jumuiya ya wazazi ccm
 
Back
Top Bottom